Quantcast
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA LAENDESHA BAHATI NASIBU YA BUNDUKI ILI KUVUTIA WATU WENGI...

KUSHOTO: Tangazo la bahati nasibu. KULIA: Kanisa la Grace Baptist.Kanisa moja lililoko mjini New York limejinadi kutoa bure bunduki aina ya AR-15 kwenye bahati nasibu itakayofanyika baadaye mwezi huu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKATIBU WA BUNGE MAALUMU WAAPISHWA RASMI...

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi nyaraka Dk Thomas Kashililah mara baada ya kumwapisha jana.Yahya Hamis Hamad kutoka Zanzibar ndiye Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba. Katibu huyo jana aliapishwa na Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SITTA AONYA WAJUMBE 'WAROPOKAJI' BUNGENI KUKIONA CHAMOTO...

Samuel Sitta akila kiapo kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba jana.Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WA DARASA LA SABA KIZIMBANI KWA MADAI YA KUOANA RUKWA...

Mwanafunzi aliyehitimu Darasa la Saba mwaka jana, jina tunalo amefikishwa  katika Mahakama ya  Hakimu wa Wilaya ya  Nkasi mkoani Rukwa, kwa madai ya kumuoa  msichana  waliyekuwa  wakisoma  naye darasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEEMA YA DAMPO PUGU, SASA MALIPO GONJWA LA KIPINDUPINDU...

Moja ya familia zilipata chakula ndani ya neti kuepuka nzi wanaoambukiza kipindupindu.Katika harakati za kujikinga na maradhi na usumbufu wanaoupata wa nzi majumbani, wakazi wanaoishi karibu na eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMBAZI AFIA KWA MGANGA WA KIENYEJI TARIME...

Mkazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero iliyopo Tarafa ya Inchage, Tarime, Nchagwa Marwa Yusuph (35) aliyekuwa akisakwa kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha wilayani hapa, amekutwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA KIKWETE AANZA KAMPENI KUWANIA UBUNGE CHALINZE...

Ridhiwani Kikwete katika moja ya mikutano yake ya kampeni.Wakati leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, mgombea wa ubunge katika uchaguzi mwingine mdogo jimboni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMU ILIYOKUWA KWENYE CHAJA YAUA MSIKILIZAJI ZANZIBAR...

Ali Bakari Ali (20) mkazi wa Kisima Majongoo mjini Unguja amekufa baada ya simu yake aliyokuwa akitumia ambayo ilikuwa imeunganishwa na chaja ya umeme kupata hitilafu.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ALBINO AUA MWANAWE SINGIDA, AMCHUNA NGOZI...

Kamanda Geofrey Kamwela.Polisi mkoani Singida inawashikilia wanawake wawili, mmoja wao akiwa mlemavu wa ngozi `albino’, kwa tuhuma ya kuua na kumchuna ngozi mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMUEL SITTA AANZA KWA KASHFA BUNGE MAALUMU LA KATIBA...

Samuel Sitta (kushoto) alipokuwa akikabidhiwa kiti na Pandu Ameir Kificho.Akiwa ndiyo kwanza ametoka kuapishwa na kuanza kazi, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amepingwa na mjumbe wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAONGOZA MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA...

TOSA Na.1 CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0IPAMBA Na.2CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0ISAKULILOCCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0KILINDI A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0  OFISI YA KIJIJI (KILINDI) CCM 117, Chadema 53,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FOLENI SUGU YA KIMARA KUANZA KUPUNGUA WIKI HII...

Ujenzi ukiendelea Barabara ya Morogoro.Kampuni ya Strabag   inayoendelea na ujenzi wa barabara chini ya mradi wa mabasi yaendayo haraka, imeruhusu upande mmoja wa barabara uliokamilika, kutumika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVAMIZI KIWANJA CHA MWALIMU NYERERE AMPUUZA MKUU WA WILAYA...

Ukuta uliojengwa kwa siku mbili kwenye kiwanja cha Nyerere.Ni wazi sasa kuwa mvamizi katika kiwanja cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ana kiburi na jeuri kwa kuwa ameamuru ujenzi kuendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KUHUTUBIA BUNGE LA KATIBA JUMATANO...

Ukumbi wa Bunge la Katiba.Tunaweza kusema ni wiki muhimu kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutengewa siku tatu za kujadili rasimu ya Katiba itakayowasilishwa leo na Jaji Joseph...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WANNE WAUAWA KIKATILI BUHONGWA....

Watu wanne wameuawa na kundi la watu wasiojulikana, wakituhumiwa kuiba ng’ombe katika Kijiji cha Igwambiti Kata ya Buhongwa, jijini Mwanza.Mtendaji wa Kata ya Buhongwa, Benedict Kabadi alisema alipokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA ZANZIBAR WAKATAA MUUNDO WA SERIKALI TATU...

Sehemu ya mji wa Unguja.Asilimia 60 ya wananchi wa visiwani Zanzibar waliotoa maoni yao kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wametaka muundo wa Muungano wa serikali ya mkataba na hakuna hata mwananchi...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live