EWURA YAPATA MKURUGENZI MKUU MPYA...
Felix Ngamlagosi.Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepata Mkurugenzi Mkuu mpya, Felix Ngamlagosi.Taarifa iliyotumwa jana kwa vyombo vya habari na Mwenyekiti wa Bodi ya Ewura,...
View ArticleWATAKAOTEGA VIKAO VYA BUNGE LA KATIBA KUKATWA POSHO...
Spika Anne Makinda alipokagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge kwa ajili ya vikao vya Bunge la Katiba.Mbunge ambaye hatashiriki shughuli za Bunge Maalumu, hatapewa posho maalumu, isipokuwa ataambulia Sh...
View ArticleKIWANJA CHA MWALIMU NYERERE CHAPIGWA DANADANA KINONDONI...
Hayati Mwalimu Nyerere.Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, imeendelea kupigwa chenga na viongozi wa Wilaya ya Kinondoni, walikokwenda mara kadhaa kufuatilia haki ya kiwanja walichoachiwa...
View ArticleNAFASI YA Z'BAR KATIKA MUUNGANO YAWA GUMZO KWENYE KATIBA MPYA...
Ikulu ya Zanzibar.Wakati wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifikiria nani atakuwa Mwenyekiti wao, wasomi karibu 100 waliokutana jana Dar es Salaam, wamejikuta wakiingia katika mjadala wa namna...
View ArticleCHEKA KIMYA-KIMYA...
Jamaa mmoja kaamua kwenda kumtupa paka wake baada ya kuchoshwa na tabia za paka huyo kudokoa mboga jikoni kila mara. Siku moja alfajiri jamaa akambeba paka huyo na kwenda kumtupa mbali. Aliporejea...
View ArticleWATAKAOFANYA VURUGU BUNGE LA KATIBA KUFUNGIWA SIKU KUMI...
Spika wa muda, Pandu Ameir Kificho.Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba atakayevunja, kujaribu kuvunja utaratibu, amani na utulivu au kuonesha tabia za vurugu kwa kutumia nguvu na mabavu ndani ya ukumbi...
View ArticleMEMBE KUZUNGUMZIA LEO ADHABU YAKE ALIYOPEWA CCM...
Bernard Membe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema leo atazungumzia hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.Membe na makada...
View ArticleWABUNGE WAKATAA POSHO YA 300,000/-, WASEMA HAILINGANI NA HADHI YAO...
Wajumbe wakiwa kwenye kikao cha Bunge la Katiba.Wakati mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba,...
View ArticleWALIOUA MSICHANA NA KUMWAGIA TINDIKALI BAADA YA KUMBAKA SIKU TATU WAHUKUMIWA...
Eneo ambapo msichana huyo alibakwa kwa siku tatu kabla ya kuuawa.Wanaume watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo nchini India baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka 'mande' msichana mwenye umri wa miaka...
View ArticleMEMBE APONGEZA KUADHIBIWA WANAOSAKA URAIS KUPITIA CCM...
Bernard Membe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amepongeza hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, kutokana na kubainika kuanza...
View ArticleKIKWETE, KAGAME WAPANGA KUKUTANA KUMALIZA TOFAUTI ZAO...
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na Rais Paul Kagame.Marais Jakaya Kikwete na Paul Kagame wa Rwanda, wamepanga kukutana mara kwa mara kujadili matatizo yanayoibuka na kuhatarisha amani baina ya nchi...
View ArticlePOSHO YAGAWA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA, BAADHI WAKATAA NYONGEZA...
Wajumbe Bunge la Katiba.Wakati Bunge Maalumu la Katiba likiunda kamati maalumu ya kufuatilia suala la nyongeza ya posho za wajumbe, umetokea mgawanyiko miongoni mwa wabunge hao. Kamati iliyoundwa...
View ArticleAFUNGWA JELA MAISHA KWA KUMNAJISI MTOTO MDOMONI...
Mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Athuman Mussa (54) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka...
View ArticleWABUNGE WA KATIBA WAPATIWA KINGA, WAKO HURU KUTOA MAONI...
Jaji Frederick Werema.Kila mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ana uhuru wa maoni ambayo hayatahojiwa mahakamani au sehemu yoyote nje ya Bunge hilo.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema...
View ArticleMKURUGENZI WA ZAMANI MANISPAA YA ILALA KORTINI KWA MAUAJI...
Gabriel Fuime.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya mauaji.Alifikishwa mahakamani hapo...
View ArticleLORI LAHAMA NJIA NA KUPARAMIA BASI DOGO LA ABIRIA MKURANGA...
Watu watano wamejeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani baada ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace kugongwa na lori eneo la Mwandege, Mkuranga. Kwa...
View Article