MANISPAA YA KINONDONI YADAIWA KUTAFUNA FEDHA ZA MOCHARI MWANANYAMALA...
Halmashauri ya Kinondoni imekumbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha baada ya kubainika imedanganya kwamba ilitumia Sh milioni 20 kukarabati na kupanua mochari ya Hospitalini ya Mwananyamala wakati...
View ArticleWABUNGE WAMKOMALIA MWANDISHI WA UINGEREZA AOMBE RADHI...
Wabunge nchini wamesema habari ya Gazeti la Uingereza la Daily Mail on Sunday kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete inafumbia macho ujangili ni upotoshaji na serikali inapaswa kumtaka mwandishi huyo...
View ArticleWAZIRI TIBAIJUKA AANIKA UTETEZI WA ZIWA NYASA...
Profesa Anna Tibaijuka.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameweka wazi utetezi wa Tanzania katika mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa na Malawi.Akizungumza na wahariri...
View ArticleJANUARI MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA KAMATI YA MAADILI CCM...
Januari Makamba (kushoto) na Stephen Wassira.Kamati ndogo ya maadili ya CCM jana iliendelea kuhoji wanachama wake ambao wanatajwa kuanza harakati za urais kinyume na utaratibu wa chama.Jana ilikuwa...
View ArticleKAENI CHONJO! BOMOABOMOA KABAMBE KUFANYIKA DAR...
Moja ya bomoabomoa zilizowahi kufanyika Dar.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ametangaza kuanza kwa bomoabomoa mpya kwa waliojenga katika maeneo ya wazi.Alisema...
View ArticleUVUMILIVU WA KISIASA WAMSHINDA KIKWETE, AAGIZA CCM KUJIBU MAPIGO...
Jakaya Kikwete.Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewataka wanachama wake kuacha unyonge na kujibu mapigo ya wapinzani hasa wale ambao wanaendesha siasa za vurugu...
View ArticleSIKU MBILI KABLA, CHADEMA YATISHIA KUSUSIA BUNGE LA KATIBA...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifurahia jambo na Katibu Mkuu wake, Dk Willibrod Slaa.Wakati keshokutwa Bunge Maalum la Katiba linaanza kukutana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleYANGA YAWABUGIZA WACOMORO MABAO 12-2, NGASSA ATUPIA 6 PEKE YAKE...
Simon Msuva wa Yanga akikwatuliwa na beki wa Komorozine.Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kuing'oa timu ya Komorozine De Domoni kwa mabao 12-2 katika hatua ya...
View ArticleAZAM FC YATOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO, YACHAPWA 2-0 MSUMBIJI...
Wawakilishi wa Tanzania, timu ya soka ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa timu ya Ferroviario ya Msumbiji muda...
View ArticleMWILI WA MTU WAKUTWA UMENASA KWENYE MAGURUDUMU YA NDEGE...
Mwili wa mtu umegundulika kwenye sehemu ya magurudumu ya ndege ya South African Airways iliyokuwa imeegeshwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Washington Dulles huko Virginia.Mamlaka ya viwanja...
View ArticleBOMOABOMOA WALIOVAMIA MAENEO YA WAZI YAANZA RASMI LEO...
Picha ya juu ya maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam.Bomoabomoa mpya inatarajia kuanza leo katika Jiji la Dar es Salaam kwa watu wote waliojenga katika maeneo ya wazi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
View ArticleSERIKALI KUPUNGUZA ZAIDI KODI YA VING'AMUZI...
Mojawapo ya aina za ving'amuzi.Katika kuhakikisha ving'amuzi vinawafikia wananchi wengi na kwa bei nafuu, Serikali inatarajia kushusha zaidi bei za kodi ya ving'amuzi, ili kampuni nyingi zijitokeze...
View ArticleMEMBE ATAKA MGOMBEA URAIS CCM 2015 ATANGAZWE DESEMBA MWAKA HUU...
Bernard Membe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametema cheche akitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu mgombea wa urais mwakani, kujulikana ifikapo Desemba, lakini...
View ArticleBUNGE LA KATIBA KUANZA NA MASWALI YA HAKI ZA RAIA WA TANGANYIKA...
Mwalimu Nyerere akisherehekea na wananchi wengine Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.Wakati wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakijikusanya mjini Dodoma leo, kuanza safari ya siku 70 mpaka 90 ya kuwapatia...
View ArticleKILA MJUMBE BUNGE LA KATIBA KUONDOKA NA SHILINGI 300,000/- KWA SIKU...
Ukumbi utakaotumika kwa Bunge la Katiba ukiwa tayari umekamilika.Bunge Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila...
View ArticleRUBANI MSAIDIZI ETHIOPIAN AIRLINES ATEKA NYARA NDEGE YA SHIRIKA LAKE...
Ndege hiyo mara baada ya kutua.Rubani msaidizi wa Shirika la Ndege la Ethiopia ameteka nyara ndege ya shirika hilo inayofanya safari zake kwenda Roma mapema leo na kuirusha kwenda Geneva, ambako...
View Article