Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAHIDI NEEMA YA CHAKULA TANI 14 MWAKA 2013/14...

Mizengo Pinda.Serikali imesema nchi itakuwa na chakula cha kutosha kwa asilimia 118 kwa kuwa na tani milioni 14.4 kwa mwaka 2013/2014, ikilinganishwa na mahitaji ya tani milioni 12.1 za mazao ya nafaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AELEZEA JINSI ANAVYOKOSA RAHA NA MAISHA YA MWANAE...

Kabwe Zitto akiwa na mama yake mzazi, Shida Salum.Changamoto za hatari zilizomo katika mazingira ya safari ya kisiasa anamopitia Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe zinamtisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja alikuwa akimpiga mkewe asubuhi na mapema katika moja ya mitaa ya Mwananyamala. Wakati akimpa kichapo mkewe, jamaa alikuwa akimtuhumu kwa utovu wa nidhamu na dharau katika ndoa yao. Wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAUME MCHAPAJI MWENYE VIDOLE 12 MIKONONI AENDA KUSAKA AJIRA UINGEREZA...

Vijay akionesha vidole vyake 12 vya mikono.Miguuni pia, Vijay ana vidole 12.Mchapaji wa India Vijay Singh anaweza kuchapa zaidi ya maneno 100 kwa dakika kwa kutumia vidole vyake 12.Lakini Vijay, ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAPAN YATOA FEDHA ZA UJENZI WA BARABARA ZA JUU MAENEO YA UBUNGO NA TAZARA...

Msongamano wa magari eneo la Ubungo.Serikali ya Japan, imetoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya barabara maeneo ya Tazara  na Ubungo. Mkurugenzi wa Miradi wa Wakala wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLINZI WA DK SENGONDO MVUNGI AKAMATWA KWA KUMSHAMBULIA BOSI WAKE...

Dk. Sengondo Mvungi akisindikizwa kwenye kitanda cha wagonjwa hospitalini.Watu tisa wanashikiliwa na Polisi Dar es Salaam kwa tuhuma za kuvamia nyumbani na kumjeruhi Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK SENGONDO MVUNGI AFARIKI DUNIA AFRIKA KUSINI...

Dk Edmund Sengondo Mvungi.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Sengondo Mvungi, amefariki dunia leo mchana katika hospitali ya Milpark...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIBARUA UJENZI MRADI WA MABASI YA HARAKA WAGOMA TENA KUFANYA KAZI...

Ujenzi huo ukiendelea eneo la Ubungo kabla ya jana vibarua kuamua kugoma tena.Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Strabag wamegoma kuendelea na kazi wakipinga kusimamiwa katika masuala ya utendaji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKO KUU LA KARIAKOO LAKOSA MWEKEZAJI MWENYE VIWANGO...

Sehemu ya nje ya Soko Kuu la Kariakoo, Dar es Salaam.Uongozi wa soko la Kariakoo, umesema haujapata mwekezaji mwenye vigezo atakayejenga upya soko dogo na kuwa la kisasa.Akizungumza kwa njia ya simu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'NGUVU YA UMMA' YAKWAMA KUMNASUA MBUNGE WA CHADEMA JELA...

Salvatory Machemli.Utaratibu wa Chadema kutumia kinachoitwa ‘nguvu ya umma na vurugu’ kushinikiza sheria ipindishwe kwa maslahi yake, umekwama kumnusuru Mbunge wa Ukerewe, Salvatory Machemli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA DK. SENGONDO MVUNGI WAWASILI LEO DAR KUTOKA AFRIKA KUSINI...

Marehemu Dk Sengondo Mvungi.Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi aliyefariki dunia Afrika Kusini, unatarajia kuwasili nchini leo.Taarifa ya awali kutoka NCCR...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIHANI KIDATO CHA NNE WAVUJISHWA, MWALIMU ATOA MAJIBU KWA SIMU CHOONI...

Baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha Nne nchini kifanya mtihani huo.Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne, umeingia dosari baada ya walimu wawili akiwamo Mkuu wa Shule, kushikwa wakishiriki kutoa majibu kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJEMBE CHA LEO BARABARANI...

Hapa ilikuwa maeneo ya Al Hamza, Buguruni jijini Dar es Salaam.

View Article

JEAN-CLAUDE VAN DAMME KUMBE BADO WAMO, HILI NDILO BALAA LAKE...

 Akiwa na umri wa miaka 53, Jean Claude Van Damme ameonesha kwamba bado wamo  kwa kufanya vitu visivyo vya kawaida.Nyota huyo wa filamu kutoka Ubelgiji ameibuka kivingine pale alipofanya mambo mazito...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA DK SENGONDO MVUNGI KUAGWA LEO DAR...

Jeneza lenye mwili wa Dk Sengondo Mvungi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana.Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live