Quantcast
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TANZANIA 2013 APATIKANA, NI HAPPINESS WATIMANYWA...

Happiness Watimanywa.Taji la urembo wa Tanzania mwaka 2013 limepata mwenyewe na safari hii limekwenda mkoani Dodoma.Mrembo Happiness Watimanywa alitawanza rasmi kuwa mshindi wa taji hilo na kuwabwaga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMBULIO LILILOUA WATU 39 KENYA LILIWALENGA WASIOKUWA WAISLAMU...

KUSHOTO: Askari wa Kenya akijiandaa kukabiliana na wavamizi hao jana. JUU NA CHINI: Baadhi ya majeruhi wakisaidiwa kutoka kwenye jengo hilo.Takribani watu 39 wameripotiwa kufa na zaidi ya 50 kujeruhiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOJERUHIWA SHAMBULIO LA KENYA SASA WAFIKIA 162, AL-SHABAAB YAKIRI KUHUSIKA...

Askari wa Jeshi la Kenya wakiwa wamejipanga nje ya jengo hilo.Mmoja wa majeruhi akipatiwa msaada na wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu.Habari zilizopatikana muda mfupi uliopita zinasema idadi ya majeruhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOKUFA WESTGATE SHOPPING MALL SASA WAFIKIA 59, WENGINE 175 WAJERUHIWA...

Mwanajeshi akilinda usalama nje ya jengo hilo.Vikosi vya usalama vikiwa tayari kwa mapambano ndani ya jengo hilo.Habari tulizopata muda mfupi uliopita zinasema jumla ya watu 59 wamethibitishwa kufariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE KONGWE SASA KUREJESHEWA KIDATO CHA KWANZA...

Mizengo Pinda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inashughulikia utaratibu wa kurejesha utoaji wa elimu ya kidato cha kwanza hadi kidato cha nne, katika baadhi ya shule kongwe, ili kurudisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AL-SHABAAB WATISHIA KUUA MATEKA WOTE WALIOBAKI WESTGATE SHOPPING MALL...

Jengo ambalo mateka hao bado wanashikiliwa ndani yake.Magaidi wa Kiislamu ambao wameliteka jengo la Westgate Shopping Mall mapema leo wametishia kuua mateka wao wote waliobakia huku vikosi maalumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAIDI WAHOFIWA KUJILIPUA NDANI YA WESTGATE SHOPPING MALL...

Moshi mzito ukifuka ndani ya jengo la Westgate Shopping Mall.Habari zilizopatikana hivi punde zinasema inahofiwa kuwa magaidi wa Kiislamu wamejilipua wenyewe ndani ya jengo la Westgate Shopping Mall...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA MBADALA CHA WALIMU TANZANIA CHAUNGWA MKONO...

Makao Makuu ya Chama cha Walimu Tanzania.Chama mbadala wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mtandao wa Walimu Tanzania (TTN), ambacho kimesajiliwa, kimeungwa mkono na Kamati ya Taifa ya Wanachama wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASIMULIA MKASA MZIMA WA UTEKAJI WESTGATE SHOPPINGA MALL...

Jengo la Wesgate Shopping Mall mjini Nairobi.Manusura katika shambulizi la kigaidi katika duka kubwa la Westgate jijini Nairobi, Kenya, wamesimulia mkasa mzima na kusema walivyoshuhudia wateja wenzao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA LALIPULIWA NA KUUA WAKRISTO 75 NA KUJERUHI 110...

Waumini wakiwa hawajui la kufanya baada ya shambulio hilo kanisani hapo.Wauaji wawili wa kujitoa mhanga wamelipua mabomu yao nje ya kanisa la kihistoria nchini Pakistan jana na kuua watu 75 kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPYA YAIBUKA UTEKAJI WESTGATE SHOPPING MALL, MJANE WA KIINGEREZA AHUSIKA...

KUSHOTO: Samantha Lewthwaite. KULIA: Jinsi ilivyokuwa.Shambulio la kigaidi kwenye kituo cha kibiashara Kenya lililosababisha vifo vya watu 69 liliongozwa na mjane mweupe wa Kiingereza wa mlipuaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAUME AIBA MAITI YA BABA YAKE KWA IMANI AKIMWOMBEA ATAFUFUKA...

KUSHOTO: Vincent Bright. KULIA: Jeneza hilo likiwa nyuma ya gari la Bright baada ya kukamatwa na polisi.Mtu mmoja aliyeiba maiti ya baba yake kutoka makaburi ya Detroit amewekwa chini ya uangalizi jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJANE GAIDI WA UINGEREZA AHOFIWA KUFA UTEKAJI WESTGATE SHOPPING MALL...

Samantha Lewthwaite.'Mjane Mweupe' Samantha Lewthwaite anawezekana kuwa ameuawa katika utekaji nyara wa Nairobi.Huku jaribio la kuwateketeza wanamgambo waliobaki kwenye Kituo cha Biashara cha Kenya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHAMIAJI HARAMU AKUTWA NA LESENI NA KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA...

Leseni ya udereva.Baadhi ya wahamiaji haramu, wamekuwa wakitumia mbinu ya kupiga picha na viongozi wa juu wa Serikali na kuzitumia kama ‘kibali’ cha kukaa nchini.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOPINGA MUSWADA WA MABADILIKO YA KATIBA WASHAURIWA KURUDI MEZANI...

Peter Mziray.Vyama vya siasa vinavyopinga Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba vimeshauriwa kurudi kwenye meza ya mazungumzo vikiaswa kuwa malumbano katika majukwaa ya kisiasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SENSA 2012 YAFICHUA IDADI KUBWA YA WATANZANIA NI WATOTO...

Baadhi ya watoto wa Kitanzania wakiwa darasani.Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 inaonesha kuwa sehemu kubwa ya idadi ya watu  nchini ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 na vijana.Sensa hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ANUSURIKA BAADA YA KUMIMINIWA RISASI NA GAIDI WESTGATE SHOPPING MALL...

Patashika katika jengo la Westgate Shopping Mall mjini Nairobi.Wakati Serikali ya Kenya ikitangaza kukamilisha kazi ya kupambana na magaidi walioteka kituo cha biashara cha Westgate, Nairobi na...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live