$ 0 0 Muonekano wa ndani ya Kanisa Dogo la Sistine ambako mkutano wa faragha wa makardinali kuchagua Papa mpya ulioanza jana unaendelea.