Mchagga mmoja alipokufa kufika mbinguni akakutana na malaika na mambo yalikuwa hivi. Malaika: "Kushoto kwako ni Peponi, na kulia ni Jehanamu. Ungependa uende upande upi?" Mchagga: "Katikati ya Jehanamu na Peponi!" Malaika: "Kwanini?" Mchagga: "Maana nikifungua duka hapo wote wa Peponi na Jehanamu watafika kwa urahisi kununua bidhaa!" Kasheshe...
↧