Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4605 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YASHINDA VITI VYA UDIWANI KATIKA KATA 16 KATI YA 22...

Nape Nnauye.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika kata 16 kati ya 22 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika nchini juzi.Uchaguzi huo ni wa kujaza nafasi wazi za udiwani ingawa katika kata nne za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Mwanafunzi kapanda kwenye daladala. Cha kushangaza yule mwanafunzi badala ya kukaa kwenye kiti muda wote akawa akitembea kwenda mbele na kurudi nyuma. Kondakta akamuuliza: "Oyaa dogo, kwanini hukai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KODI ZA PETROLI NA MISHAHARA ZATAKIWA KUSHUSHWA...

Wabunge wakiendelea na kikao mjini Dodoma.Mjadala wa Bajeti ya Serikali ulianza jana kwa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambayo imetaka baadhi ya kodi zilizopendekezwa na Serikali kuongezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEDAI ABIRIA WOTE KWENYE NDEGE WAMELISHWA SUMU ADHIBITIWA...

Ndege ya United Airlines inayofanya safari zake Newark imebeba abiria ambaye alidhibitiwa baada ya kudai kwamba kila mtu kwenye ndege hiyo amelishwa sumu.Mtuhumiwa huyo alidhibitiwa na abiria wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE NASSARI ASIMULIA MKONG'OTO ALIOPATA...

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa kitandani hospitalini.Akielezea kupigwa kwake, Mbunge Joshua Nassari akizungumza na Mbowe  na Nyalandu hospitalini hapo,  alisema alikuwa kwenye kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"ANAYETUHUMIWA KURUSHA BOMU MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA ATOROSHWA"...

Baadhi ya majeruhi wa mlipuko huo wa bomu wakipatiwa matibabu hospitalini.Mtu asiyefahamika aliyerusha bomu kwa mkono katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa madiwani wa Chadema katika kata ya Soweto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHUMBA MBARONI DAR KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA...

Godfrey Nzowa akionesha kete za dawa za kulevya mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).Watu wawili wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, wakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHUDUMU WA KIKE WA NDEGE ADAIWA KUSAFIRISHA PANYA KWENYE NGUO ZAKE ZA NDANI...

Panya wa kufugwa.Mhudumu mmoja wa ndege ya American Airlines amelishitaki shirika hilo baada ya madai yaliyoibuliwa na mwenzake kwamba alishafirisha panya wake wa kufugwa ndani ya chupi yake na nguo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI!! MAFUTA YA UBUYU YANA TINDIKALI INAYOSABABISHA SARATANI...

Mafuta ya ubuyu yaliyo tayari kwa matumizi.Baada ya kuonya wananchi wanaotumia dawa za tiba mbadala ambazo hazijathibitishwa, Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), sasa inawataka wananchi kuacha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOKUFA AJALI YA NDEGE ILIYOANGUKA NA KUWAKA MOTO WATAMBULIWA...

PICHA KUBWA: Abiria wa ndege hiyo wakikimbia kutoka kwenye ndege hiyo mara baada ya kuanguka. PICHA NDOGO: Mabaki ya ndege hiyo baada ya kuteketea kwa moto.Waathirika wawili ambao walikufa wakati ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHIMBAJI GESI WATAKIWA KUHARAKISHWA ILI KUONDOA UMASIKINI...

Mtambo wa kusafishia gesi Mnazi Bay, Mtwara.Rais Jakaya Kikwete ametaka uchimbaji gesi asilia uharakishwe ili kuongeza kasi ya kuondoa umasikini kwa wananchi.Aidha alisisitiza kuwa jukumu kubwa la gesi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MWANAMKE 'KIJEBA' ALIYEKWAMA KUKUA KWA MIAKA 15 SASA, AVAA NGUO ZA...

KUSHOTO: Laxmi akiwa na mdogo wake, Suman. KULIA: Laxmi akijaribu kuvaa viatu vya watu wazima.Amekuwa akishuhudia rafiki zake wakikua kufikia kuwa wasichana wakubwa lakini Yadev Laxmi hajabadilika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA TAKSI AUA KWA KUMCHOMA VISU ABIRIA ALIYEGOMA KULIPA SHILINGI 2,400...

Baadhi ya taksi za nchini Thailand.Dereva taksi mmoja wa Thailand amekamatwa kwa mauaji ya raia wa Marekani, ambaye anadaiwa kumuua kwa kushindwa kulipa nauli ya Dola za Marekani 1.50.Troy Lee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMA YA WASHITAKIWA KESI YA EPA KUJULIKANA ALHAMISI...

Majengo pacha ya Benki Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.Hatima ya washitakiwa wa kesi ya wizi wa Sh bilioni sita za Benki Kuu (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kujulikana keshokutwa wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENZAKE NA LWAKATARE KESI YA SUMU AENDELEA KUSOTA RUMANDE...

Mshitakiwa Ludovick Joseph anayekabiliwa na kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu,  pamoja na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, ameendelea kusota rumande baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAGUFULI ATANGAZA RASMI BOMOABOMOA DAR...

Dk John Magufuli.Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, amesema Serikali haitasita kubomoa nyumba za wananchi waliosusia kuchukua fedha za fidia za nyumba zao, ili miradi ya ujenzi iendelee bila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article
Browsing all 4605 articles
Browse latest View live