Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU ALIYETIMULIWA KWA KUTEMBEA NA MWANAKWAYA AGOMA KUACHIA NYUMBA...

JUU: Sheila Graziano. CHINI: Dk Reid akiwa na mkewe Ruth. KULIA: Askofu Dk Michael Reid.Askofu ambaye aligoma kuachia nyumba yake wakati alipofukuzwa kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanakwaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAKANA TUHUMA ZA KUUA WATU...

Singo Kigaila.Huku kukiwa na madai kuwa Chadema inahusika na matukio ya kula njama za utekaji na kuteka, kupiga na kuua watu, chama hicho kimekuja juu na kukanusha madai hayo.Pamoja na kukanusha,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI ATETEA UHALIFU KWA KUMTISHIA MAISHA MWENYEKITI...

Mwenyekiti wa kitongoji cha mjini Bunda anadai kuishi kwa hofu baada ya kutishiwa maisha na askari wa Polisi, akimtuhumu kufuatafuata wahalifu.Akizungumza jana kwenye matembezi maalumu ya kuhamasisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABUNI YA UNGA YA KLIN YAPIGWA MARUFUKU KWA KUKOSA UBORA...

Baadhi ya pakiti za sabuni ya Klin.Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeagiza kuondolewa sokoni kwa sabuni ya unga iitwayo Klin, kwa sababu haina viwango vya ubora vinavyotakiwa.Aidha, limeutaka umma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMA AKABIDHI URAIS KWA LOWASSA MWAKA 2015...

Augustine Mrema (kushoto) na Edward Lowassa.Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema amesema biashara ya kugombea urais mwaka 2015 haiwezi kamwe na ametaka ifanywe na Waziri Mkuu wa zamani, Edward...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WALIA NA PETROLI, DIZELI, SIMU KWENYE BAJETI...

Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa.Wananchi wa kada mbalimbali nchini wameendelea kutoa maoni yao kuhusu bajeti ya serikali iliyosomwa bungeni Alhamisi na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa.Mhadhiri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLIPUKO WAMKATA VIGANJA MWENDESHA PIKIPIKI DAR...

Mkazi wa Mbagala Chemichem, Abdul Said ambaye ni mwendesha pikipiki amekatika viganja vya mikono miwili baada ya kulipukiw a na kitu alichopewa kushika.Hata hivyo Said anashikiliwa na polisi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKUMU YA UPATU WA DECI KUTOLEWA JULAI 26

Baadhi ya wanachama wa DECI wakiwa wamekusanyika nje ya makao makuu ya ofisi za DECI, Mabibo, Dar es Salaam mara baada ya serikali kutangaza kufungwa ofisi hizo.Hukumu ya kesi  ya kuendesha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMU LALIPUKA MKUTANO WA CHADEMA NA KUACHA SABA MAHUTUTI ARUSHA...

Baadhi ya majeruhi wa mlipuko kwenye mkutano wa Chadema, Arusha jana.Mwezi mmoja baada ya kutokea mlipuko katika Kanisa Katoliki la Joseph Mfanyakazi la Olasiti mjini hapa mlipuko mwingine umetokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI ACHOMWA MOTO HADI KUFA KWA KUOMBA AOLEWE NA MTU WA UKOO WAKE...

Anju Yadav (kushoto) na Ranjit Yadav.Msichana wa miaka 19 amechomwa moto hadi kufa na mama yake kupigwa baada ya kuwaomba wazee wa kijiji kuruhusiwa kuolewa na mvulana mmoja kutoka kijijini hapo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA YA HEWA YAHADHARISHA MAWIMBI MAKUBWA BAHARINI...

Mamlaka ya Hali ya Hewa  Tanzania  (TMA) imehadharisha upepo kuwapo na upepo mkali baharini unaopiga kilometa 40 kwa saa na mawimbi yenye ukubwa unaozidi mita 2.0.Taarifa ya hali ya hewa iliyotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NASSARI ALAZWA HOSPITALI KUFUATIA KIPIGO KIKALI...

Joshua Nassari.Habari zilizopatikana kutoka Arusha zinasema kwamba Mbunge wa Arumeru Mashariki ambaye alikuwa ni Meneja Kampeni wa Chadema katika uchaguzi wa Kata ya Makuyuni wilayani Monduli, mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Baba kamuuliza mwanawe: "Vipi mtihani ulikuwaje?" Mtoto: "Rahisi mno, kila swali jibu lake nimejaza YESU!" Baba: "Kwa vipi?" Mtoto: "Wakati nikiwa njiani kwenda shule, nikaona bango limeandikwa YESU NI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAANZA KUICHAMBUA SERIKALI DODOMA LEO...

Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungao mjini Dodoma.Leo Wabunge wanaanza kujadili kwa siku saba mfululizo bajeti ya Serikali ambayo ilisomwa  na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa wiki iliyopita. Bajeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU EXTRA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAGOMEA BUNGE KUFUATIA SHAMBULIO LA BOMU ARUSHA...

Baadhi ya wabunge wa Chadema wakiwa nje ya jengo la Bunge mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mchungaji Peter Msigwa, Godbless Lema, John Mnyika na Tundu Lissu.Wakati Jeshi la Polisi nchini limesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI AMCHINJA KICHWA BABA YAKE BAADA YA KUBAKWA...

Baadhi ya wanakijiji wakiwa wameweka ulinzi mkali kuzuia binti huyo asikamatwe na polisi.Binti mmoja amekata kichwa cha baba yake na kukitenganisha na kiwiliwili kwa kutumia panga baada ya baba huyo...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live