Quantcast
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO ULIOTAPAKAA MLIMA KILIMANJARO WADHIBITIWA KWA ASILIMIA 75...

Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.Moto mkubwa ulioteketeza zaidi ya ekari 40 za msitu wa Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro haujaathiri shughuli za watalii kupanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika.Aidha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAENDELEA KUKALIA USHAHIDI WA BOMU LA ARUSHA...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kukalia ushahidi kinaodai kinao kuhusu mlipuko wa bomu uliotokea mwezi uliopita kwenye mkutano wa chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISA WA JKT AKUTWA NA MENO YA TEMBO YA SHILINGI BILIONI 4.2/-...

Meno ya tembo.Ofisa Uvuvi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT ), Seleman Chasama (50), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya tembo, yenye thamani ya Sh bilioni 4.2.Chasama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFUMBUA MACHO MADAKTARI WAKIJIANDAA KUMKATA VIUNGO WAKIDHANI AMEKUFA...

Madaktari wakijiandaa kuanza kazi ya upasuaji.Madaktari wa hospitali ya St. Joseph iliyoko Central New York walikuwa katika mchakato wa kuanza upasuaji wa kunyofoa viungo katika mwili wa mwanamke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO WAISLAMU WAANZA MFUNGO MTUKUFU WA RAMADHANI...

Leo Waislamu wa Tanzania wanaungana na wenzao duniani kote kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Hii inafuatia kuonekana kwa mwezi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, taarifa ambazo zimethibitishwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMRI WAWAENGUA WANAFUNZI 76 KUJIUNGA KIDATO CHA TANO...

Waziri Philipo Mulugo.Wakati wanafunzi 34,213 wamechaguliwa mwaka huu kuingia kidato cha tano, vyuo vya ufundi vya umma na Taasisi ya Menejimenti ya Maendeleo ya Maji wanafunzi 76 wamekosa nafasi hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISA MAGEREZA WA KIKE ASHITAKIWA KWA KUTONGOZANA NA MFUNGWA WA KIUME...

Elizabeth Surrey.Ofisa Magereza wa kike anayetuhumiwa kwa kuwa na mahusiano yasiyoruhusiwa na mfungwa amefikishwa mahakamani.Elizabeth Surrey, mwenye miaka 25, kutoka Chelmsford, Essex, anatuhumiwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUKUU WADAI MZEE MANDELA SASA ANATABASAMU...

Mzee Nelson Mandela.Wajukuu wawili wa kike wa Rais wa zamani Nelson Mandela, Zaziwe Dlamini-Manaway na Swati Dlamini, wamesema babu yao 'anatabasamu' na 'anawasiliana kwa kupepesa macho'.Wawili hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPIGAPICHA WA MISRI AREKODI PICHA ZAKE ZA KIFO...

KUSHOTO: Ahmed Samir Assem enzi za uhai wake. KULIA: Picha iliyopigwa na Assem ikimuonesha askari akimwelekezea bunduki muda mfupi kabla ya kufyatua risasi.Picha za kushitusha zimenasa tukio ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI WA WHITNEY HOUSTON SASA ATANGAZA KACHUMBIWA NA 'KAKA YAKE'...

Bobbi Kristina (kulia) akiwa na mchumba wake, Nick Gordon.Binti wa Whitney Houston, Bobbi Kristina Brown ametangaza rasmi kwamba amechumbiwa.Na mwanaume aliyebahatika, kama ambavyo wengi walitarajia,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA FRANCIS AAMURU KUVUNJWA KWA SANAMU YAKE KANISANI...

Sanamu hiyo ya Papa Francis iliyoko kanisa kuu la mjini Buenos Aires ambayo imeamriwa ivunje.Katika umri wa miaka 76 amekuwa jina linatamba na nyota wa kurasa za mbele za majarida.Lakini Papa Francis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ALIYETANGAZWA KUFA WAKATI WA KUZALIWA 'AFUFUKA' KWENYE MADHABAHU...

KUSHOTO: Dokta Aurelio Filipak. KULIA: Madhabahu ambako Yasmin 'alifufuka'.Mtoto mdogo wa kike ambaye alitangazwa kufariki mara baada ya kuzaliwa 'amefufuka' masaa matatu baadaye kwenye madhabahu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA NDANI SASA KULIPWA SHILINGI 35,000 KWA WIKI...

Mshahara wa watumishi wa ndani, sasa umewekwa kisheria kuanzia Julai mosi, kupitia tangazo la Serikali la Kima cha Chini cha Mshahara wa Kisekta, lililotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI ALIYEBAKWA NA WALIMU WAKE WATATU AJIFUNGUA MTOTO ALIYEZAA NA BABU WA...

Binti huyo akiwa amempakata mtoto wake wa kike.Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 12 amejifungua mtoto ambaye alidaiwa kuzaa na babu mwenye miaka 74.Mstaafu huyo kutoka kijiji cha jirani huko Qiyang,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASIL MRAMBA YUKO HOI, MAHAKAMA YAMPA KIBALI AKATIBIWE NJE YA NCHI...

Basil Mramba.Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba anayekabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, anaumwa na amepewa kibali na Mahakama kwenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUNIA KUFANYA KAZI ZA KUJITOLEA MAADHIMISHO YA SIKU YA MANDELA...

Mzee Nelson Mandela.Taasisi ya Nelson Mandela, imetaka watu duniani, wafanye shughuli za kujitolea kwa dakika 67, wakati kiongozi huyo akifikisha umri wa miaka 95 wiki ijayo.Mandela atafikisha miaka 95...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI WABAINI MAJANI NA UNGA WA UBUYU NI SALAMA KWA MATUMIZI...

Ubuyu.Utafiti wa kisayansi, haujabainisha athari za kiafya zinazoweza kujitokeza kwa ulaji wa unga na majani ya mbuyu, isipokuwa kwa mafuta yatokanayo na mbegu za mti huo. Mamlaka ya Chakula na Dawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA MZEE MANDELA SASA KAMA YA ARIEL SHARON WA ISRAEL...

Mzee Nelson Mandela. KUSHOTO: Mashine za kusaidia kupumua.Familia ya Nelson Mandela, ambaye yu mahututi katika hospitali ya Medi-Clinic jijini Pretoria kwa zaidi ya mwezi sasa, inaweza katika siku au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live