Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

Beki wa Brazil, David Luiz akiwa haamini kilichotokea baada ya timu yake kupokea kichapo cha mabao 7-1 kutoka kwa Ujerumani jana.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI - JULAI 10

   

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI M YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 5.05

Benki M Tanzania imeweka rekodi baada ya kupata faida kabla ya kodi hadi kufikia asilimia tisa katika robo ya mwaka iliyoishia Juni 2014.Ofisa Mtendaji Mkuu, Jacqueline Woiso alisema jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WATATU WA BAHI WAKANA KUMUUA MAMA YAO

Wakazi watatu wa kijiji cha Uhelela wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma wamekana shtaka linalowakabili la mauaji ya kukusudia ya mama yao mzazi, ambapo wanadaiwa kumshambulia kutokana na kitendo chake cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMAYE AFICHUA RUSHWA ZINAZOITESA TANZANIA

Waziri Mkuu mstaafu  Frederick Sumaye, ametaja aina tatu ya rushwa  zinazoitafuna nchi, ambazo ni rushwa kujikimisha haramu, rushwa ulafi na rushwa madaraka uroho.Alisema hayo jana alipokuwa akizindua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUTA YA KUZUIA AJALI HAYATAKUWEPO TENA

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli  amesisitiza Serikali haitaweka matuta ya vizuizi vya kupunguza ajali katika barabara zote zilizoko nchini. Alisema hayo juzi katika Kijiji cha Igogo wilayani Igunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA - JULAI 11

             

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHUJAJI WANAOENDA KUHIJI MAKKA WAONYWA

Shirikisho la Taasisi za Hijja Tanzania(TAHAFE) limewatahadharisha  waumini wote wa dini ya Kiislamu, wanaotarajia kwenda katika Ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia, kuwa makini na matapeli.Matapeli hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANAYEDAIWA KUMNG'ATA MFANYAKAZI WA NDANI AACHIWA

Mtuhumiwa wa kesi ya kujeruhi kwa kumng'ata sehemu mbalimbali za mwili  mfanyakazi wa ndani, inayomkabili Amina Maige (42) amepatiwa dhamana jana baada  ya mahakama kuthibitisha kuwa hasira kutoka kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPEPO KUENDELEA KUICHACHAFYA PWANI YA TANZANIA

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imeendelea kuhadharisha juu ya upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani ulioanza jana. Upepo huo unaotarajiwa kuendelea hadi kesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABOMU ARUSHA YAIWEKA PABAYA KAMATI YA ULINZI YA MKOA

Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Arusha (RCC) kimetaka  polisi na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, kuacha kutoa matamko ya haraka,   badala yake wachunguze kubaini chanzo cha milipuko ya mabomu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBIA WA TANZANIA NA ALGERIA KWENYE GESI WAIVA

Tanzania na Algeria zinakamilisha majadiliano ya kuanzisha kampuni ya ubia, itakayohusika na ujenzi wa miundombinu ya kusambaza  umeme.Pia, itaanzishwa kampuni ya ubia ya kujenga mtambo wa kusindika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AAGIZA MAABARA SHULE ZOTE IFIKAPO NOVEMBA

Rais Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi. Ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanashirikiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KADA WA CCM KUSOMEWA MASHITAKA KITANDANI MUHIMBILI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 11 mwaka huu inatarajia kuhamia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kusikiliza utetezi wa kada wa CCM, Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

Washiriki wa Kongamano la nne la Makatibu Muhtasi Tanzania kutoka maeneo mbalimbali wakifuatilia mada mbalimbali mapema leo kwenye Hoteli ya Malaika, jijini Mwanza.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika wilaya ya Nkinga, mkoani Tanga jana.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda treni kutoka Reading kwenda jijini London, Uingereza baada ya kuzungumza na Watanzania waishio Reading jana.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza na wageni waalikwa wakati wa futari iliyoandaliwa BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo kwenye Hoteli ya Serena, Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKANDARASI WA BARABARA WAIDAI SERIKALI SHILINGI BILIONI 600

Wakandarasi wanaojishughulisha na ujenzi  wa barabara katika maeneo mbalimbali nchini wanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 600, hali inayosababisha kuzorota kwa utekelezaji wa baadhi ya miradi hiyo na...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live