SEKONDARI BILA MAABARA, MAKTABA SASA HAKUNA KUSAJILIWA...
Wanafunzi wakiwa maabara.Kuanzia sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza. Wakati agizo hilo linagusa shule...
View ArticleSASA MATUMAINI KIBAO KUPATIKANA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA...
JUU: Meli ya China ambayo imeendelea kupata dalili za uwepo wa ndege hiyo. CHINI: Kisanduku cheusi ambacho kuna ishara nyingi za kuweza kupatikana. KULIA: Mchoro unaoonesha mtiririko wa safari ya ndege...
View ArticleMASIKINI TENA MR NICE, NI KILIO KWENDA MBELE...
KUSHOTO: Mr Nice alipojeruhiwa kwa chupa baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu. KATIKATI: Mr Nice enzi zake alipokuwa 'ananuka pesa'. KULIA: Mr Nice alivyo sasa.Katika hali isiiyokuwa ya kawaida...
View ArticleBONDIA KUTOKA IRAN ATAMBA KUMCHAKAZA FRANCIS CHEKA
Bondia kutoka Iran, Gavad Zohrev ametuma salamu kwa Francis Cheka kuwa hazungumzii mengi, kwani amejipanga kuchukua ubingwa katika pambano lao litakalofanyika kesho kwenye Ukumbi wa PTA katika Viwanja...
View ArticleArticle 23
Mjumbe Godbles Lema (kushoto) akizungumza jambo na wajumbe wenzake Freeman Mbowe (kulia) na Tundu Lissu wakati wa kikao cha Bunge hilo mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 22
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (kushoto) akisalimiana na mjumbe mwenzake Leticia Nyerere (kulia) wakati mjumbe Shamsi Vuai Nahodha (katikati) akishuhudia kwenye viwanja vya...
View ArticleArticle 21
Wajumbe wa Bunge Maalum wakiwasili Bungeni mjini Dodoma jana kuhudhuria kikao cha bunge hilo.
View ArticleArticle 20
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, David Kafulila (katikati) akipongezwa na wajumbe wenzake kwa hoja yake aliyoiwasilisha wakati wa kikao cha bunge hilo mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Naomi...
View ArticleArticle 19
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angelah Kairuki (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Nancy Mrikaria nje ya Bunge mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 18
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Prof. Ibrahim Lipumba (kulia) akisisitiza jambo kwa mjumbe mwenzake Augustino Lyatonga Mrema kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge hilo mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 17
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Feliste Bura (kushoto) na Catherine Saruni wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana baada ya kuahirishwa kwa kikao cha bunge hilo.
View ArticleArticle 16
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kulia) akifurahia jambo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Felister Bura wakati wakiwasili Bungeni mjini Dodoma jana kuhudhuria kikao cha...
View ArticleArticle 15
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Godbles Lema akimtaka Mwenyekiti wa Kamati namba mbili, Shamsi Vuai Nahodha (hayupo pichani) kusoma vipengele vyote vya taarifa ya kamati hiyo kwa ufasaha wakati...
View ArticleArticle 14
Wajumbe, Prof. Ibrahim Lipumba, Dk. Hussein Mwinyi na Prof. David Mwakyusa wakifuatilia kwa makini taarifa ya kamati mojawapo iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 13
Mjumbe Muhammad Sanya (kushoto) akigonga na mjumbe mwenzake, ismail Aden Rage nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
View ArticleArticle 11
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia kwa makini taarifa ya mojawapo ya kamati iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 10
Wanamuziki wa bendi ya Shengen Academy wakishambulia jukwaa kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni. Hawavumi lakini wamo. Ni jina geni kidogo lakini limesheheni wanamuziki wenye majina makubwa katika...
View ArticleArticle 9
Days, weeks and months have passed and today is exactly one year since you passed away on 12 April 2013. We cherish the time GOD allowed us to spend with you during the life time. Your departure was so...
View ArticleMAJANGILI HIFADHI YA RUAHA KUKIONA CHAMOTO
Tembo wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha watafungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wao, hizo zikiwa ni harakati za ziada za serikali na wadau wake, kunusuru wanyama hao dhidi ya majangili wanaosaka...
View Article