$ 0 0 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, David Kafulila (katikati) akipongezwa na wajumbe wenzake kwa hoja yake aliyoiwasilisha wakati wa kikao cha bunge hilo mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Naomi Kaihula, Susan Kiwanga, Grace Kiwelu na Moses Machali.