$ 0 0 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Prof. Ibrahim Lipumba (kulia) akisisitiza jambo kwa mjumbe mwenzake Augustino Lyatonga Mrema kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge hilo mjini Dodoma jana.