SITTA AVUNJA KAMATI YA UONGOZI BUNGENI...
Samuel Sitta akiongoza Bunge la Katiba.Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa awali wa nafasi tano za Kamati ya Uongozi ili kuifanya kamati hiyo kuwa na uwakilishi...
View ArticleUGONJWA WA HATARI WAZIDI KUITESA DAR, WATU 144 HOI...
Dk Donan Mmbando.Wagonjwa 144 wamethibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya Dengue hadi wiki iliyopita jijini Dar es Salaam huku mtu mmoja akifariki dunia.Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan...
View ArticleNYALANDU ATAKA MOTISHA KATIKA VITA DHIDI YA UJANGILI...
Tembo, moja ya wanyama wanaolengwa sana na majangili.Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amelitaka Baraza kuu la Wafanyakazi la Wizara, kuandaa utaratibu wa kutoa motisha kwa kila...
View ArticleMAMA ALIPA MADENI KWA KUUZA BIKIRA YA BINTI YAKE DOLA 500 TU...
KUSHOTO: Mama huyo, Rotana akionesh picha aliyopiga na binti yake huyo. KULIA: Dara Keo.Raia wa Cambodia, Dara Keo wakati akiwa na miaka 12 mama yake mzazi, Rotana aliuza bikira ya mtoto wake huyo kwa...
View ArticlePINDA KUONGOZA MAZIKO YA ASKOFU WA ANGLIKANA...
Marehemu Godfrey Mdimi Mhogolo.Wachungaji wapatao 300 waliokuwa wakifanya kazi chini ya aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dodoma, Marehemu Godfrey Mdimi Mhogolo wametakiwa...
View ArticleKAMATI YA WASSIRA YATAKA BARA IJIVUE KOTI LA MUUNGANO...
Stephen Wassira.Mwenyekiti wa Kamati namba Sita ya Bunge Maalum la Katiba, Stephen Wassira amesema kamati yake imependekeza Tanzania Bara kuvua koti la Muungano, linalodaiwa kuvaliwa ili koti hilo sasa...
View ArticleAKUBALI KUTAFUNWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA FISI KUPATA UTAJIRI...
Chamangeni Zulu akiuguza majeraha yake hospitalini.Waswahili wanasema akili za kuambiwa changanya na zako wakimaanisha si kila kitu unachoambiwa ukifuate isipokuwa kichuje na ndipo ufanye maamuzi.Kuna...
View ArticleWAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE WAANIKA SIRI ZAO HADHARANI...
Bunge la Katiba.Tabia ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge...
View ArticleRAIS KIKWETE AGAWA KWA WANANCHI SHAMBA LA NABII MWINGIRA...
Nabii Josephat Mwingira.Rais Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya Efatha Ministry inayoongozwa na Nabii Josephat...
View ArticleMAKINDA AHOFIA NCHI KUSAMBARATISHWA NA MCHAKATO WA KATIBA...
Anne Makinda.Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amesema Katiba inaweza kuwa chanzo cha nchi kusambaratika na kuwataka viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla, kila mmoja kwa imani yake kuliombea...
View ArticleWACHINA WAONA DALILI ZA NDEGE ILIYOPOTEA YA MALAYSIA...
Meli ya China inayofanya kazi ya kutafuta ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia iliyopotea maeneo ya Kusini mwa Bahari ya Hindi imepata ishara inayodaiwa kutoka kwenye ndege hiyo, vimesema vyombo vya...
View ArticleMBARONI KWA KUPIGA HADI KUUA MTOTO WAKE WA KUFIKIA...
Kamanda Ahmed Msangi.Mkazi wa kijiji cha Itimba wilayani Mbeya, Happy Petter (16) anashikiliwa na polisi kwa kumpiga mtoto wa kufikia na kumsababishia kifo.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya,...
View ArticleCHALINZE WAPIGA KURA LEO KUCHAGUA MBUNGE WAO...
Masanduku ya kupigia kura.Baada ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi...
View ArticleMAKASISI WAONYWA KUACHA KUTOA FEDHA KUNUNUA UASKOFU...
Dk Jacob Chimeledya.Askofu Mkuu Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya ameonya tabia ya makasisi kutoa fedha ili kununua Uaskofu kwani hiyo ni aibu.Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE MBUNGE MPYA WA CHALINZE, CHADEMA HOOOOI...
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein akimnyanyua mkono Ridhiwani Kikwete kuashiria ushindi kwa chama hicho.Habari zilizotufikia zinasema kwamba, mgombea wa CCM, Ridhiwani Kikwete ameibuka mshindi...
View ArticleSERIKALI MBILI KWA KURA THELUTHI MBILI BUNGENI INAWEZEKANA...
Wajumbe wakiinua mikono kukubaliana na moja ya hoja bungeni.Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili...
View Article