$ 0 0 Wajumbe, Prof. Ibrahim Lipumba, Dk. Hussein Mwinyi na Prof. David Mwakyusa wakifuatilia kwa makini taarifa ya kamati mojawapo iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni mjini Dodoma jana.