MGOGORO WA UONGOZI CHADEMA SASA WAGEUKA KITUKO...
Mbunge Said Arfi.Mgogoro wa uongozi ndani ya Chadema, umeingia katika hatua nyingine baada ya makada wa chama hicho wanaopingana kimisimamo, kufunga ofisi za chama hicho mjini Mpanda kwa zaidi...
View ArticleCHEKA KIMYA-KIMYA...
Jamaa mmoja mpenda sifa kapigiwa simu na demu wake na mambo yalikuwa hivi. Jamaa: "Hellow baby, mie nipo Mlimani City napata nyama choma na washikaji wangu!" Demu: "Okay, nilitaka kukwambia...
View ArticleUFUNGUZI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA BADO KITENDAWILI...
Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.Mpaka sasa haijulikani lini Bunge Maalum la Katiba, litafunguliwa rasmi, kutokana na kuendelea kusogezwa mbele kwa shughuli muhimu za Bunge hilo kabla ya...
View ArticleAMUUA MWANAWE KWA KUMPIGA NYUNDO KICHWANI TARIME...
Mchinja nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira...
View ArticleWAVAMIA STESHENI YA TRENI NA KUCHINJA OVYO ABIRIA KWA MAPANGA NA VISU...
Waombolezaji na wafanyakazi wa kujitolea wameendelea kumiminika huko Kunming mapema leo baada ya mashambuliaji wa kutumia visu kuua watu 29 kwenye ghasia za mhemuko.Wauaji hao, wanne kati yao waliuawa...
View ArticleKURA YA SIRI, UWAZI YAENDELEA KUWACHANGANYA WAJUMBE DODOMA...
Profesa Ibrahim Lipumba akichangia kuhusu upigaji wa kura bungeni.Watu wenye busara watatumiwa na Bunge la Katiba kuamua mambo yote yatakayoleta mvutano, ili kuepusha wajumbe wa Bunge hilo kupasuka...
View ArticleMTOTO AUNGUZWA MIKONO YOTE MIWILI KWA KUDOKOA NJEGERE...
Njegere.Mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Jangwani, Manispaa ya Sumbawanga amechomwa moto mikono yake miwili, kutokana na tuhuma za kudokoa njegere zilizokuwa zikichemka...
View ArticleSITTA APITISHWA CCM KUWANIA UENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA...
Samuel Sitta.Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.Pia kamati hiyo...
View ArticlePROFESA LIPUMBA AMPIGIA DEBE SITTA UENYEKITI BUNGE LA KATIBA...
Profesa Ibrahim Lipumba.Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba, amesema Mbunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta, ana sifa zote za kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.Lipumba...
View ArticleJANE MAGIGITA ATUNUKIWA TUZO LA MARTIN LUTHER KING...
Jane Magigita.Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya Equality for Growth (EfG), Jane Magigita, ametunukiwa na Ubalozi wa Marekani nchini tuzo ya Haki ya Dk Martin Luther King kwa mwaka...
View ArticleMANISPAA KINONDONI, DART ZAJIKANYAGA KUWAONDOA WAMACHINGA...
Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya haraka.Mpango wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga katika eneo la ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka huenda ukashindikana baada ya...
View ArticleMTOTO WA KIKWETE ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CHALINZE...
Ridhiwani Kikwete.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM katika Wilaya ya Bagamoyo, Ridhiwani Kikwete, ameibuka kidedea katika kura za maoni kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la...
View ArticleKARDINALI PENGO AICHAMBUA KATIBA YA ZANZIBAR, ASEMA IMEKOSEWA...
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.Wakati maandalizi ya Bunge Maalumu la Katiba yakiendelea, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema Katiba ya Zanzibar...
View ArticleMCHUNGAJI KANISA LA ANGLIKANA MBARONI KWA MAUAJI...
Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Usharika wa Mfarasi kata ya Madilu wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Petro Chambachamba (87), anashikiliwa Polisi akihusishwa kwenye kesi ya mauaji.Kamanda wa...
View ArticleMVUA KUBWA KUNYESHA KWA SIKU TATU MFULULIZO...
Athari za mvua inayoendelea kunyesha.Mvua kubwa ya vipindi inayozidi milimeta 50 ndani ya saa 24, inatarajiwa kunyesha kwa siku tatu mfululizo hadi kesho.Hadhari hiyo iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa...
View ArticleCHADEMA WASAKA WA KUMPAMBANISHA NA MTOTO WA KIKWETE...
Nape Nnauye.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia...
View ArticleWABUNGE WAPONGEZA MSIMAMO WA KANISA KATOLIKI...
Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Joseph.Wabunge na Wawakilishi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepongeza hatua ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali...
View ArticleWATOTO WAMUUA KINYAMA MPENZI WA MAMA YAO MKOANI KATAVI...
Ndugu wawili wa kiume wa familia moja wilayani Mlele mkoa wa Katavi, wanatuhumiwa kumuua mpenzi wa mama yao kwa kumchinja, kisha kutelekeza mwili wake porini. Wakazi hao ambao mmoja ni mtoto mwenye...
View ArticleTAIFA STARS YAIBANA NAMIBIA KWAO NA KUTOKA NAYO SARE BAO 1-1...
Habari zilizotufikia, zinasema kwamba timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kuibana timu ya Taifa ya Namibia na kwenda nayo sare ya bao 1-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa...
View Article