CHEKA TARATIBU...
Mwanafunzi mmoja mtukutu kakutana na mwalimu wake na mambo yakawa hivi. Mwalimu: "Wewe kwanini kila siku unachelewa kufika shuleni?" Mwanafunzi: "Nakaa mbali sana". Mwalimu: "Mbali mbinguni?"...
View ArticleDK. KIMEI ANG'ARA MCHAKATO WA KINARA WA BENKI AFRIKA...
Dk Charles Kimei.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei amechaguliwa kwenye mchakato wa kumtafuta kinara wa Benki wa Afrika kwa mwaka 2013, unaoendeshwa na African Banker Awards chini...
View ArticleSHEKHE PONDA ARIDHIA KIFUNGO CHAKE CHA MWAKA MMOJA NJE...
Shekhe Issa Ponda akilakiwa na jamaa zake mara baada ya huku hiyo kwenye Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam, jana.Pamoja na kuhukumiwa kifungo, Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Shekhe Issa...
View ArticleATAKAYETAJA WALIORUSHA BOMU KANISANI ARUSHA KUZAWADIWA MILIONI 50/-...
IGP Said Mwema.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali Saidi Mwema ameahidi kutoa donge nono la Sh milioni 50 kwa atakayeweza kutoa taarifa ya kumfichua mhusika au wahusika wengine wa tukio...
View ArticleRUBANI JASIRI WA KIKE AANGUKA NA HELIKOPTA KATIKATI YA MTAA...
Vikosi vya waokoaji wakishuhudia ajali hiyo.Rubani mmoja wa kike wa helikopta amepongezwa kama shujaa baada ya kuanguka nayo ardhini kutoka umbali wa futi 3,000 katikati ya jiji lenye pilika nyingi...
View ArticleMZAHA WA LEO...
*****************************Hata uwe na kasi kiasi gani, huwezi kukimbilia kifo!*****************************
View ArticleSERIKALI YAWATOLEA MAKUCHA YAKE WACHOCHEZI WA KIDINI...
Dk Emmanuel Nchimbi.Serikali imesema kuanzia sasa haitakuwa na kigugumizi kukabiliana na wachochezi wa chuki za kidini miongoni mwa Watanzania na kukiri kuwa hali imefikia hapo kutokana na Serikali...
View ArticleRASIMU YA MWONGOZO UUNDAJI MABARAZA YA KATIBA YATOLEWA...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2005.Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa rasimu ya mwongozo wa uundwaji wa mabaraza ya Katiba yatakayoundwa na kuendeshwa na taasisi, asasi, vyama na...
View ArticleMZAHA WA LEO...
**************************************Ujinga usio na hasara ni bora kuliko elimu isiyo na faida!!**************************************
View ArticleMAASKOFU WASEMA SASA IMETOSHA MAKANISA KUSHAMBULIWA...
Baadhi ya waombolezaji wakishiriki mazishi ya watu watatu waliouawa kwenye shambulio la bomu kanisani mjini Arusha Jumapili iliyopita.Wakristo wametakiwa kutolipiza kisasi juu ya maovu yaliyofanywa na...
View ArticleWALIOJIFANYA MASISTA WAKAMATWA WAKISAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA...
Wanawake hao watatu waliobambwa na dawa za kulevya.Wanawake watatu wamekamatwa kwa madai ya kujaribu kusafirisha dawa za kulevya kupitia uwanja wa ndege wakiwa wamevalia kama masista.Wasafirishaji hao...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa 'mashoga' wawili, akapata wakati mgumu kutamka kwamba "Sasa ninyi ni MKE na MUME". Alishindwa kutamka hivyo kwa kuwa wote wawili ni wanaume. Baada ya...
View ArticleKUZOROTA AFYA YA 'PAPA' BENEDICT XVI KWAITISHA VATICAN...
Benedict XVI (kushoto) akisalimiana na Papa Francis I.Kuzorota kwa afya ya Papa Emeritus Benedict XVI kumemfanya kubakia nusu ya umbile lake la siku za nyuma, imedaiwa jana.Kardinali wa Ujerumani...
View ArticlePOLISI ALIYEUA MTOTO KWA KUMPIGA RISASI MARA ATIWA MBARONI...
Kamanda Justus Kamugisha.Askari Polisi wa Kituo cha Tarime mkoani Mara mwenye namba D. 4662 Koplo Mathew, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za uzembe uliosababisha kifo kwa risasi cha mwanafunzi wa...
View ArticleSERIKALI SASA YAZINDUKA USINGIZINI MIKATABA YA MADINI...
Wachimbaji wakiwa kazini katika mchimbo ya madini ya Mererani.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amecharuka na kuagiza Serikali kuwa na hisa katika migodi yote ya madini...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Rasta mmoja alienda kumtembelea ndugu yake anayeishi kwenye nyumba ya chumba kimoja maeneo ya Manzese na kugonga mlango. Sauti ikatoka kwa ndani: "We nani?" Rasta akajibu: "Jah Man, King of Reggae,...
View ArticleALIYEZINDUKA BAADA YA AJALI NA KUJIGUNDUA MJAMZITO, AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME...
Gemma akiwa amembeba mtoto wake, Ruben.Mwanamke mmoja ambaye alizinduka baada ya kuzirai na kugundua ana ujauzito wa wiki nne amesimulia furaha yake baada ya kujifungua mtoto 'kamilifu' wa...
View ArticleMFANYABIASHARA ANAYELAWITI WANAFUNZI MWANANYAMALA ATIWA MBARONI...
Kamanda Charles Kenyela.Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni linamshikilia Ahmad Mohamed Sharif (38), mfanyabiashara na mkazi wa Mwananyamala Msisiri ’A’ kwa tuhuma za kuwaingilia kinyume cha...
View Article