$ 0 0 Wendawazimu wawili walianzisha shule chini ya mti. Siku moja wakamkuta mwenzao juu ya mti. Wakamuuliza kulikoni naye akajibu kwa kujiamini: "Niko HIGH SCHOOL!!" Kasheshe...