$ 0 0 Tembo wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha watafungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wao, hizo zikiwa ni harakati za ziada za serikali na wadau wake, kunusuru wanyama hao dhidi ya majangili wanaosaka meno yao.