$ 0 0 Kamati sita kati ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimeshindwa kuwasilisha taarifa zao kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu tayari kwa ajili ya kuwasilishwa bungeni leo.