Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILA MTANZANIA SASA NI MSHUKIWA WA DAWA ZA KULEVYA...

Mtumiaji dawa za kulevya.Biashara ya kusafirisha dawa za kulevya imeanza kutia doa taswira ya Watanzania kimataifa.Hali hiyo inathibitishwa na kwamba katika baadhi ya nchi, kila Mtanzania anayeingia,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIHADHARA INAYOENDESHWA NA SHEKHE PONDA MARUFUKU ZANZIBAR...

Shekhe Ponda Issa Ponda akihubiri katika moja ya mihadhara yake.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imempiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya Taasisi ya Kiislamu, Shekhe Ponda Issa Ponda, kuendesha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'BWANA MAPESA' MGONJWA, ALAZWA HOSPITALI YA AGA KHAN...

Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Salma, wakimjulia hali Mheshimiwa John Cheyo hospitalini alikolazwa kwa matibabu jana. Katikati ni mjukuu wa Cheyo, Gabriel.Mbunge wa Bariadi Magharibi, John Cheyo (UDP),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEKHE PONDA AALIKWA KUONGOZA KONGAMANO LA BARAZA LA IDDI...

Shekhe Ponda Issa Ponda.Wakati Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikimpiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, kuendesha mihadhara ya kidini katika ardhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA WA MADINI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI ARUSHA...

Madini ya Tanzanite.Mfanyabiashara  maarufu wa madini jijini Arusha, Erasto Msuya amepigwa risasi na kufa papo hapo katika eneo jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro  (KIA).Msuya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKYEMBE ACHARUKA DAWA ZA KULEVYA KUPITISHWA UWANJA WA NDEGE...

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambao umekuwa moja ya njia kubwa za kupitishia dawa za kulevya.Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameionya Kamati ya Nne ya Kitaifa ya Usalama wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHADHIRI WA UDSM AUAWA KWA KUPIGWA RISASI...

Eneo la Magomeni, Dar es Salaam ambako mhadhiri huyo anasemekana alivamiwa na kupigwa risasi.Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Uhandisi  (COeT)  cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Patrick...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGONJWA ASHINIKIZA KUHARAKISHIWA KIFO ACHANGIE VIUNGO VYAKE KWA WENGINE...

Sherri Muzher (kushoto) na Dk Jack Kervorkian.Mwanamke aliyefikia hatua za mwisho kabisa za uhai kutokana na ugonjwa anapambana kuhitimisha maisha yake ili aweze kuchangia viungo vyake kuwezesha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU WAJAWAZITO WAOMBA LIKIZO YA UZAZI IANZE MAPEMA...

Walimu wajawazito, wameomba likizo ya uzazi ianze mapema wakiwa na ujauzito wa miezi saba, kwa kuwa wakati huo, wengi wao hushindwa kumudu kuandika ubaoni. Walitoa ombi hilo hivi karibuni kwa Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWA YA KIENYEJI YAUA MGONJWA WILAYANI TARIME...

Dawa za kienyeji.Mganga wa kienyeji mkazi wa Kijiji cha Nyansincha, wilayani hapa mkoani Mara, Mwita Nyamankore, anasakwa na Polisi kwa madai ya kumpa dawa ya kienyeji mgonjwa wake na kumsababishia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA IDD EL FITR...

Mhariri na timu nzima ya ziro99blog tunawatakiwa Waislamu wote, watangazaji wetu, wasomaji wetu na Watanzania kwa ujumla Heri na Fanaka katika kusherehekea Sikukuu ya IDD EL FITR.Wakati tukisherehekea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPYA YAFICHUKA WALIMU WA UINGEREZA WALIOMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR...

Walimu hao wakisaidiwa kuingia kwenye gari.Wakati walimu wawili wa kujitolea, raia wa Uingereza, wakijeruhiwa kwa kumwagiwa tindikali, katika maeneo ya Mji Mkongwe, Shangani, Zanzibar, mapya yameibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WALIPUKIWA NA BOMU MAKABURINI WAKIADHIMISHA IDD EL FITR...

Mmoja wa watoto waliojeruhiwa kwenye mlipuko huo akipatiwa matibabu hospitalini.Zaidi ya dazeni ya wanawake na watoto wameuawa makaburini nchini Afghanistan wakati wakitoa heshima zao za mwisho kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA KIKE SEKONDARI YA MZINDAKAYA WADAIWA KUWEKWA KINYUMBA...

Baadhi ya wanafunzi wa kike wakifua nguo zao.Baadhi ya wasichana  wanaosoma katika Shule ya Sekondari Mzindakaya iliyopo kijiji cha Kaengesa, wilayani Sumbawanga, wametajwa kuishi kinyumba na wanaume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASAKWA NA KUTISHIWA KUUAWA NA WAISLAMU SABABU YA MASHARUBU YAKE...

Malik Amir Mohammad Khan Afridi.Baba mmoja wa Pakistani ameelezea jinsi anavyokabiliana na vitisho vya kuuawa na amekuwa akikimbilia mafichoni - sababu ya masharubu yake yenye urefu wa inchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALALI MBARONI DAR KWA UBOMOAJI MADUKA MTAA WA SAMORA...

Baadhi ya maduka yaliyoko kando ya Mtaa wa Samora.Badala ya kusherehekea Idd el-fitri, baadhi ya wafanyabiashara katika mtaa maarufu wa Samora, Dar es Salaam walilazimika kuitumia siku ya jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU WALIOMWAGIWA TINDIKALI WAREJESHWA UINGEREZA, BABA AELEZEA MAJERAHA YA...

KUSHOTO: Majeraha ya mmoja wa mabinti hao. KULIA: Ndege iliyowabeba mabinti hao ikitua kwenye Uwanja wa RAF Northolt jana ikitokea mjini Dar es Salaam.Baba aliyeumizwa mno wa mmoja wa wasichana wa...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live