MAMA AIJIA JUU SHULE KWA KUMNYIMA MWANAE MAJI SABABU YA MFUNGO...
KUSHOTO: Shule ya Msingi Charles Dickens. KULIA: Kora Blagden.Mama aliyejawa na hasira ameishutumu shule moja msingi kwa kumkatalia mwanae maji ya kunywa katika moja kati ya siku zenye joto kali...
View ArticleBENJAMIN MKAPA AVUNJA UKIMYA, ATOA KAULI NZITO...
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa.Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na wadau wengi wa amani nchini, kutaka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri amani ili kunusuru Taifa na...
View ArticleMAMA AMCHOMA MARA 90 USONI MTOTO WAKE WA MIEZI 8...KISA? KAMNG'ATA CHUCHU...
Mtoto Xiao Bao akiwa amelazwa hospitalini baada ya kushambuliwa na mama yake mzazi.Mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi minane ana bahati kuwa hai baada ya kuwa amechomwa na kitu chenye ncha kali mara...
View ArticleBALAA! VYETI FEKI 677 VYATUMIKA KUOMBEA KAZI SERIKALINI...
Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imekamata jumla ya vyeti vya kughushi 677 ambavyo wahusika wanadai kuvipata kutoka Wakala wa Usajili, Vizazi na Vifo (RITA), Mamlaka ya Elimu...
View ArticleWAJAWAZITO WATOZWA FAINI DOLA 5 KILA WANAPOPIGA KELELE ZA UCHUNGU HOSPITALINI...
Wodi ya wajawazito hospitalini hapo.Wanawake masikini wamekuwa wakinyonywa katika wakati wao usio salama na hospitali moja ambayo huwatoza Dola za Marekani 5 kila wanapopiga kelele wakati wa...
View ArticleBAO LA KUSHANGAZA! KIPA ATUNGULIWA UMBALI WA MITA 70...
Beki wa timu ya soka ya Red Bull Salzburg, Martin Hinteregger akimtungua kipa wa Schalke 04 kutoka umbali wa mita70 katika mechi ya maandalizi ya msimu mpya nchini Ujerumani.
View ArticleHALI YA MZEE MANDELA YAWAACHA MIDOMO WAZI MARAFIKI ZAKE...
Mzee Nelson Mandela.Mke wa Nelson Mandela amesema hana wasiwasi na afya ya mumewe kama alivyokuwa wiki moja iliyopita.“Anaendelea kupokea matibabu vizuri,” amesema Graca Machel. Hata hivyo kiongozi...
View ArticleKARATASI ZA KURA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI ZABADILISHWA...
Jaji Damian Lubuva.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya mabadiliko kwenye karatasi za kupigia kura na fomu za matokeo ya uchaguzi ambazo zilitolewa awali kabla ya kuahirishwa kwa uchaguzi mdogo wa...
View ArticleMKE AMKATA KIGANJA MUMEWE KWA KUNYIMWA PESA ZA MATUMIZI...
Kiganja cha binadamu. (Picha ya Maktaba).Mwanaume mmoja amelazwa katika Hospitali Teule ya DDH-Bunda, baada ya kukatwa kwa panga kiganja chake cha mkono wa kushoto na mkewe kwa kile kilichodaiwa...
View ArticleARUSHA SI SHWARI! SHEKHE MKUU AMWAGIWA TINDIKALI NYUMBANI...
Said Juma Makamba akiwa hospitalini baada ya shambulio hilo juzi.Shekhe Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Said Juma Makamba amejeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa maji yanayohisiwa kuwa tindikali na watu...
View ArticleBASI LA METRO LAGONGANA USO KWA USO NA FUSO...
Lori hilo aina ya Fuso likiwa katika eneo la ajali.Basi la Metro lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Arusha, limepata ajali katika eneo la Kawawa wilayani Moshi na kusababisha kifo cha dereva wa...
View Article'TRENI LA MWAKYEMBE' YAINGIZA HASARA SHILINGI MILIONI 1.2 KWA SIKU...
Treni hilo likiwa katikasafari zake za kila siku jijini Dar es Salaam.Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imesema inapata hasara ya wastani wa Sh milioni 1.2 kwa siku, kutokana na gharama kubwa za...
View ArticleCHADEMA YATETEA KATA NNE UCHAGUZI MDOGO UDIWANI ARUSHA...
Zoezi la kuhakiki kura likiendelea katika Kata ya Kaloleni.Matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne mkoani Arusha, yameonesha kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Chizi mmoja kapiga simu hospitali ya vichaa na mambo yakawa hivi. Kichaa: Haloo, hapo ni hospitali ya vichaa?" Mapokezi: "Ndiyo, tukusaidie nini?" Chizi: "Niangalizie chumba namna 17 kama kina mtu."...
View ArticleAGONGWA NA NYOKA KWENYE UUME WAKATI AKIJISAIDIA CHOONI...
Aina ya nyoka wa jamii hiyo.Mwanaume mmoja amekimbizwa katika hospitali moja baada ya nyoka kumng'ata kwenye uume wake wakati akijisaidia chooni, kwa mujibu wa maofisa wa hospitali nchini Israeli.Mtu...
View ArticleJWTZ KUONGEZA NGUVU ZAIDI DARFUR BAADA YA VIFO VYA ASKARI WAKE SABA...
Mkurugenzi wa Habari na uhusiano wa Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali Kapambala Mgawe alipokuwa akizungumzia kuuawa kwa askari 7 wa Tanzania na wengine 14 kujeruhiwa na waasi Darfur Sudan...
View ArticleMSAJILI AIONYA CHADEMA KUHUSU KUANZISHA KAMBI YAKE YA MAFUNZO...
John Tendwa.Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, ameionya Chadema, kwamba isithubutu kuanzisha kambi za mafunzo ya kulinda amani kwa kuwa hatua hiyo si sahihi.Tendwa ametoa onyo hilo...
View Article