BOMU KANISANI LAKATISHA ZIARA YA RAIS KIKWETE KUWAIT...
Rais Jakaya Kikwete.Mshituko uliosababishwa na ugaidi wa bomu kurushwa kwa waumini katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti jijini Arusha, umemlazimu Rais Jakaya...
View ArticleDEREVA WA BODABODA MBARONI KWA KUTUPA BOMU KANISANI ARUSHA...
Hali ilivyokuwa kanisani hapo juzi.Dereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda, Victor Ambrose, anatuhumiwa kurusha bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti jijini...
View ArticleBAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWAKA 2013/2014...
HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHESHIMIWA DKT. EMMANUEL JOHN NCHIMBI (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIKWA MWAKA 2013/2014I....
View ArticleMZAHA WA LEO...
********************************Hata uwe na kikohozi gani, huwezi kupasha moto juisi!********************************
View ArticleKESI YA WILFRED RWAKATARE KUUNGURUMA TENA LEO...
Wilfred Rwakatare akiingia mahakamani Kisutu kusikiliza kesi dhidi yake.Uamuzi wa ombi la marejeo ya mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred...
View ArticleMABAKI YA BOMU LILILORUSHWA KANISANI ARUSHA KUCHUNGUZWA...
Mabaki ya bomu hilo lililoua watu watatu na kujeruhi zaidi ya 70.Bomu lililorushwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti Arusha litachunguzwa kubaini aina yake na...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mke wa mtu akisoma meseji kutoka kwa mwanaume wake wa nje alijikuta akitokwa machozi baada ya buzi lake hilo kumweleza mapenzi yao yamefikia kikomo. Mume wake akamuuliza: "Nani kakutumia meseji?" Mke:...
View ArticleUAMUZI RUFAA YA KUACHIWA ABDALLAH ZOMBE KUTOLEWA LEO...
Abdallah Zombe.Mahakama ya Rufaa leo inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Abdallah...
View ArticleSIR ALEX FERGUSON ABWAGA MANYANGA MANCHESTER UNITED...
Muda mfupi uliopita, Meneja wa Manchester United Sir Alex Ferguson ametangaza rasmi kwamba atastaafu klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa miaka 27.Meneja huyo mwenye...
View ArticleMFUMUKO WA BEI NCHINI WAPOROMOKA HADI ASILIMIA 9.4...
Baadhi ya masoko yanayouza vyakula vya nafaka.Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema mfumuko wa bei wa Taifa kwa Aprili mwaka huu, umepungua hadi kufikia asilimia 9.4 kutoka asilimia 9.8 ya Machi...
View ArticleMAHAKAMA YA RUFAA YAHALALISHA KUACHIWA HURU KWA ABDALLAH ZOMBE...
Abdallah Zombe akiwa mahakamani.Mahakama ya Rufaa jana ilitupilia mbali rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa Zombe na wenzake wanane.Mahakama hiyo ilitoa uamuzi huo, kutokana na kasoro zilizo kwenye...
View ArticleMZAHA WA LEO...
****************************Hakuna Airport ya kuku japo naye pia ni ndege!****************************
View ArticleWILFRED RWAKATARE AFUTIWA MASHITAKA YA UGAIDI DHIDI YAKE...
Wilfred Rwakatare na wenzake wakitoka mahakamani.Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema,Wilfred Rwakatare na mwenzake Ludovick Joseph wamepata nafuu kidogo baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...
View ArticleWABUNGE WATAKA SHERIA YA KINGA DHIDI YAO ITAZAMWE UPYA...
Sehemu ya wabunge wanaounda Bunge la Jamhuri ya Muungano wakifuatilia kikao mjini Dodoma.Baada ya kubaini kuwa wao ndio chanzo cha uvunjifu wa amani kutokana na kauli zao bungeni, wabunge wameona haja...
View ArticleMREMBO AJIDUNGA MAFUTA YA KULA USONI BAADA YA KUGOMEWA NA MADAKTARI...
KUSHOTO: Hang alivyo sasa. KULIA: Hang alivyokuwa hapo awali.Mwathirika wa utengenezaji upya viungo amejidunga sindano ya mafuta ya kupikia kwenye uso wake baada ya madaktari kugoma kumpatia silikoni...
View ArticleUCHACHE WA MABEHEWA WAKERA ABIRIA TRENI YA UBUNGO...
Abiria wakiwa ndani ya treni hiyo.Abiria wanaotumia usafiri wa treni kutoka kituo cha Stesheni kwenda Ubungo Jijini Dar es Salaam, wameanza kuonja ‘machungu’ ya usafiri huo, kutokana na idadi ya...
View ArticleMAHAKAMA YA RUFAA YAMREJESHEA UBUNGE DK DALALY KAFUMU...
Dk Dalaly Kafumu.Mahakama ya Rufaa nchini imetengua uamuzi ya Mahakama Kuu na kumrudishia ubunge Dk Dalaly Peter Kafumu (CCM) wa Jimbo la Igunga baada ya kuridhika na hoja za upande wa mrufani kuwa...
View Article