Rasta mmoja alienda kumtembelea ndugu yake anayeishi kwenye nyumba ya chumba kimoja maeneo ya Manzese na kugonga mlango. Sauti ikatoka kwa ndani: "We nani?"
Rasta akajibu: "Jah Man, King of Reggae, Haile Selasie, Jah Rastafarai, King of Caribbean, Man to Man from Jamaica, The Man himself, Watagwan man bum bum!" Sauti kutoka ndani ikasikika tena: "Mko wengi sana hamtatosha humu ndani, ondokeni tu!" Kasheshe...↧