UHURU KENYATTA AONGOZA MATOKEO URAIS, SITA WAUAWA UCHAGUZI KENYA...
Baadhi ya ujumbe mbalimbali kwenye moja ya mitaa wenye kuhamasisha amani wakati wa uchaguzi mkuu Kenya.Watu wenye silaha ikiwemo mishale, wamewavamia na kuwaua watu sita wakiwemo polisi wanne,...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja eneo la Posta Mpya ghafla katupa chini simu yake na kuanza kutimua mbio baada ya kuona gari la moja ya kampuni za simu za mikononi likikatiza mbele yake. Wakati abiria kituoni hapo wakiwa...
View ArticleTANESCO YAENDESHA KINYEMELA MGAWO WA UMEME USIKU...
Pamoja na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) , kutangaza kuwa hakuna mgawo wa umeme, lakini wakati wa mahitaji makubwa ya umeme hasa usiku, limekuwa likilazimika kuendesha mgawo mdogo. Akizungumza...
View ArticleMNYIKA KUONGOZA MAANDAMANO YA MAJI DAR MACHI 16...
Baadhi ya kinamama wa Dar es Salaam wakipanga foleni kusubiria maji.Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amewasilisha notisi kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela kwa ajili ya kuitisha...
View ArticleMATOKEO YA URAIS KENYA: UHURU KENYATTA AENDELEA KUPETA...
Uhuru Kenyatta.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa, mgombea wa TNA, Uhuru Kenyatta anaendelea kuongoza kinyang'anyiro cha Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya huku akifuatiwa kwa karibu na...
View ArticleMATOKEO YA KURA ZA URAIS KENYA YALIVYO HADI SASA...
HADI KUFIKIA SAA 7:00 MCHANA HUU Matokeo yaliyotufikia katika kura za urais nchini Kenya yanaonesha hivi hadi kufikia Saa 7:00 mchana huu:- Jumla ya kura zilizopigwa ni...
View ArticleWAKATI MATOKEO RASMI KUTANGAZWA KESHO, UHURU KENYATTA AZIDI KUTIMUA VUMBI...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Ahmed Isaack Hassan.Matokeo yaliyotufikia ya kura za kiti cha Urais Kenya yanaonesha kwamba Uhuru Kenyatta bado anaendelea kumtimua vumbi kuelekea Ikulu kwa...
View ArticleMAKARDINALI WANAOCHAGUA PAPA MPYA KUNYANG'ANYWA MAWASILIANO...
Papa mpya atakayeongoza Kanisa Katoliki duniani, anatarajiwa kupatikana kati ya Machi 15 na 20 mwaka huu, kabla ya Juma Takatifu kuelekea Sikukuu ya Pasaka.Kwa utaratibu wa sheria za Kanisa na mchakato...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mlevi mmoja alikuwa akitembea kando ya mto akamwona Mchungaji anawabatiza watu. Na yeye akaingia kwenye maji na kupanga poleni. Ikafika zamu yake, Mchungaji akamzamisha kichwa kwenye maji na kumuuliza:...
View ArticleMADEREVA, UTINGO WATEKETEA MOTO AJALINI TANGA...
Madereva wawili na utingo wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto baada ya magari yao kugongana uso kwa uso na kulipuka mkoani Tanga.Tukio hilo ni la juzi saa 1:45 usiku katika barabara kuu ya Tanga...
View ArticleAMUUA KAKA YAKE KWA KUMKATA NA SHOKA...
Mkazi wa kijiji cha Fyengelezya, Manispaa ya Sumbawanga, Didas Choma (35), ameuawa kikatili na mdogo wake wa tumbo moja, Frank Choma (30), kwa kumkata kichwa kwa shoka kutokana na mgogoro wa shamba la...
View ArticleMWANDISHI ASHAMBULIWA DAR, APELEKWA SAUZI KWA MATIBABU...
Absalom Kibanda akipandishwa kwenye gari maalumu kuelekea Uwanja wa Ndege wa JKN tayari kwa safari ya matibabu nchini Afrika Kusini, jana. PICHA NDOGO: Kibanda akiwa amelazwa Muhimbili baada ya...
View ArticleBIBI KIZEE AMTANDIKA NGUMI USONI MWENZAKE KWENYE FOLENI YA CHAKULA...
Bwalo la Riva Bingo, mjini Sutton.Mcheza kamari ya bingo mwenye umri wa miaka 80 amekamatwa kwa madai ya kumshindilia konde mstaafu mwingine usoni.Wanawake hao wawili waligombana kwenye Bwalo la Riva...
View ArticleTAASISI YA MOI KUANZA UPASUAJI WA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA...
Wataalamu wa Upasuaji MOI wakiwa kazini.Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MOI) inatarajiwa kuanza kufanya upasuaji kwa watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa baada ya kupatiwa msaada...
View ArticleALIYEMUIBUA "THE UNDERTAKER" MIELEKA YA WWE AFARIKI DUNIA...
William Moody maarufu kama Paul Bearer.Paul Bearer -- meneja wa kutisha wa WWE ambaye alisaidia kumtambulisha The Undertaker katika ulimwengu wa mieleka -- amefariki dunia juzi jioni akiwa na umri wa...
View ArticleRAFU ZATAWALA MATOKEO YA URAIS UCHAGUZI WA KENYA...
Muungano wa Jubilee unaoongozwa na Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu, unadaiwa kuanza kulalamikia inachokiita mchezo mchafu unaochezwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).Mgombea Mwenza wa Kenyatta...
View ArticleMWANAMKE ALIWA NA SIMBA AKIFANYA MAPENZI KICHAKANI...
Kijiji kilichoko karibu na mji wa Kariba ambako shambulio hilo lilitokea.Mwanamke mmoja ametafunwa na simba hadi kufa wakati alipokuwa akifanya mapenzi na rafiki yake wa kiume nje nchini Zimbabwe,...
View ArticleTAARIFA ZADAI KIBANDA AMEATHIRIKA ZAIDI...
Absalom Kibanda.Baada ya uchunguzi wa awali wa madaktari katika Hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam kubaini kwamba Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation, Absalom Kibanda mbali na kujeruhiwa...
View Article