MWANAMKE AOLEWA NA NDUGU WATANO, HAJUI YUPI BABA WA MTOTO...
Rajo Verma na mwanae akiwa amesimama mbele ya waume zake ndugu watano.Mwanamke wa Kihindi amezungumzia kuhusu kuolewa na waume watano, wote wakiwa ni ndugu.Rajo Verma, 21, anaishi katika chumba kimoja...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja kang'atwa na nyoka akaanza kucheka mpaka machozi yanamtoka. Wenzake kwa mshangao wakamuuliza: "Unacheka nini wakati umeumia?" Jamaa akasema: "Duh! Namsikitikia sana huyu nyoka maana hakujua...
View ArticleHUKUMU YA WAFUASI WA SHEKHE PONDA LEO...
Watuhumiwa wakiwa mahakamani Kisutu, Dar es Salaam.Hukumu ya kesi ya uchochezi na kufanya maandamano haramu inayowakabili wafuasi 53 wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Issa...
View ArticlePAPA AAHIDI KUPUNGUZA MADARAKA VATICAN...
Papa Francis (katikati) akiwa na baadhi ya makardinali.Papa Francis I amesimikwa rasmi na kutoa mwito wa wanyonge kulindwa sambamba na kuhifadhi mazingira, akisema vinginevyo kifo na uharibifu...
View ArticleDEREVA ALIYEGONGA NA KUUA TRAFIKI AKAMATWA, MAZISHI KESHO...
Watu wakishuhudia tukio hilo eneo la Bamaga, Dar es Salaam.Askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Koplo Elikiza Nko aliyekufa kwa kugongwa na gari akiwa kazini eneo la Bamaga, Kinondoni juzi,...
View ArticleWIZI WA MABILIONI MAMBO YA NJE WAKOSA USHAHIDI...
Mahadhi Juma Maalim.Wizi wa zaidi ya Sh bilioni 3.5 za kitengo cha Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, umethibitishwa, lakini ushahidi wa kupeleka mahakamani wahusika,...
View ArticleMKUU WA ITIFAKI WIZARA YA MAMBO YA NJE AVULIWA MADARAKA...
Balozi Anthony Itatiro.Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Anthony Itatiro, amevuliwa madaraka yake.Taarifa ya Serikali iliyotolewa jana...
View ArticleMWALIMU WA KIKE ABAMBWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE NDANI YA GARI...
KUSHOTO: Chuo alichofundishwa mwalimu huyo. KULIA: Mwalimu Eppie Sprung Dawson.Mwalimu aliyeaibishwa ambaye alikamatwa ndani ya gari akiwa na mwanafunzi mwenye miaka 17 juzi alikiri kwamba alikuwa...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja kaenda kuomba kazi kwenye hifadhi ya wanyama na kujibiwa kwamba kuna uhaba wa sokwe. Hivyo jamaa akatakiwa kujifanya sokwe ili kuvutia watalii. Jamaa akakubali na kupatiwa ngozi yenye...
View ArticleBOBBY BROWN AJIPELEKA MWENYEWE GEREZANI...
Bobby Brown.Bobby Brown amejikabidhi mwenyewe kwa mamlaka husika.Mwimbaji huyo mwenye miaka 44 na mume wa zamani wa hayati Whitney Houston - ambaye alizaa naye binti Bobbi Kristina mwenye miaka 19, -...
View ArticleLWAKATARE NA WENZAKE WAFUTIWA MASHITAKA, WAKAMATWA TENA...
Wilfred Lwakatare (kushoto) akitoka Mahakama ya Kisutu.Mkurugenzi wa Mashitika (DPP) amepeleka hati katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ya kuwafutia mashitaka ya ugaidi Mkurugenzi wa...
View ArticleBIBI WA MIAKA 90 ASIMULIA ALIVYOLAWITIWA USIKU KUCHA...
Ajuza wa miaka 90, amedai mahakamani jinsi alivyolawitiwa usiku kucha na kijana wa rika la mjukuu wake baada ya kuvunja mlango na kuingia ndani. Kabla ya kutoa ushahidi huo, hivi karibuni Mahakama ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUBALI KUWA MLEZI WA 'WABWIA UNGA'...
Rais Jakaya Kikwete.Rais Jakaya Kikwete, juzi usiku alikuwa na mazungumzo na waathirika wa dawa za kulevya wa Wilaya ya Kinondoni wanaotibiwa Hospitali ya Mwananyamala.Baada ya kusomewa risala,...
View ArticleWANAOMTETEA LWAKATARE WAANDAA HATI YA DHARURA...
Tundu Lissu.Mawakili wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake, wanatarajia kupeleka ombi kwa hati ya dharura Mahakama...
View ArticleMSICHANA ALIYETEKWA KIBAHA KUREJEA TENA DARASANI...
Binti huyo akitoka sehemu alimokuwa amefichwa kwa takribani miezi minne.Wakati kesi ya kuteka na kubaka binti mwenye umri wa miaka 16, inayokabili vijana watatu mkoani Pwani ikiendelea, binti huyo...
View ArticleHULKA ZA PAPA FRANCISCO ZAMWEKA MAJARIBUNI KIUSALAMA...
Papa Francis I.Usalama wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, unaelezwa kugubikwa na utata kutokana na mtindo wa maisha alionao wa kutaka kuwa huru na karibu na watu, wakati...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mchagga mmoja alitumbukia kwenye kisima kilichojaa maji wakati akitoka matembezini. Baada ya jitihada za kujinasua kushindikana, akaamua kumpigia simu mkewe ambaye kwa haraka akafika eneo la tukio...
View ArticleWAFUASI WA SHEKHE PONDA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA...
Wafuasi wa Shekhe Ponda wakisikiliza hukumu yao Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam jana.Wafuasi 53 wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Issa Ponda, wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Dereva wa bodaboda katika mbio bafuni akipiga kelele eti bafuni kuna mashetani. Wapangaji wenzake kwenye ile nyumba wakatoka kujua kulikoni, ndipo dereva huyo akaanza kuwaeleza huku akihema kwa hofu:...
View Article