$ 0 0 Baba kamuuliza mwanawe: "Vipi mtihani ulikuwaje?" Mtoto: "Rahisi mno, kila swali jibu lake nimejaza YESU!" Baba: "Kwa vipi?" Mtoto: "Wakati nikiwa njiani kwenda shule, nikaona bango limeandikwa YESU NI JIBU!" Kasheshe...