WATUMISHI WA UMMA KUANZA KUKOPESHWA NYUMBA SEPTEMBA...
Gavana wa Benki Kuu, Profesa Benno Ndullu.Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, watumishi wa Serikali nchini wataanza kunufaika na mikopo nafuu ya ujenzi wa nyumba za kuishi chini ya...
View ArticleMAJAMBAZI WAKURUPUSHWA NA KUTUPA MAKABURINI SADAKA WALIYOIBA...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, usiku wa kuamkia jana majambazi waliangusha mfuko wa mamilioni ya fedha na simu mbili makaburini wakati wakiwakimbia polisi baada ya kuvamia, kuvunja na kuiba fedha...
View ArticleMCHUNGAJI MSIGWA APANDISHWA KIZIMBANI NA KUACHIWA KWA DHAMANA....
Mchungaji Peter Msigwa.Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa pamoja na watuhumiwa wengine zaidi ya 70 jana walipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi...
View ArticlePAPA FRANCIS AKIRI KUPITIWA NA USINGIZI WAKATI IBADA IKIENDELEA...
Papa Francis I wakati wa Ibada hiyo.Papa Francis amekiri kusinzia wakati akisali mwishoni mwa siku ndefu, lakini alisema anafikiri Mungu 'ameelewa'.Baba Mtakatifu huyo alikuwa amesimama mbele ya watu...
View ArticleMKENYA ALIYECHINJA WATU 400 KWA PANGA APEWA HIFADHI UINGEREZA...
John Thuo.Muuaji ambaye aliua karibu watu 400 nchini mwake amepatiwa hifadhi ya kisiasa nchini Uingereza.John Thuo, mwenye umri wa miaka 27, ambaye aliwacharanga wengi wa waathirika wake katika...
View ArticleBIBI HARUSI MTARAJIWA AFURUMUSHWA NA MBWA...
Bibi Harusi huyo akitokomea huku mbwa naye akimfuata kwa kasi.Video ya mwanamke asiye na bahati aliyevalia gauni jeupe la harusi akiwa anafukuzwa na kushambuliwa na mbwa mchangamfu imetumwa kwenye...
View ArticleUJENZI WA BOMBA LA GESI MTWARA-DAR ES SALAAM KUENDELEA...
Profesa Sospeter Muhongo.Serikali imewasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka ujao wa fedha, huku ikisisitiza kuwa azma ya kujenga bomba la kusafirisha gesi ya asili...
View ArticleMTANGAZAJI ANYONYA MAZIWA YA MAMA MMOJA 'LIVE' KWENYE TELEVISHENI...
Mtangazaji huyo akinyonya maziwa ya mama.Mtangazaji wa Televisheni ya Uholanzi amewaacha midomo wazi watazamaji baada ya kunywa maziwa moja kwa moja kutoka kwenye matiti ya mam mmoja wakati wa kipindi...
View ArticleVURUGU ZA MTWARA ZASITISHA BAJETI YA NISHATI NA MADINI DODOMA,,,
Polisi wakijipanga kudhibiti vurugu hizo Mtwara mapema jana.Rais Jakaya Kiwete amesema serikali itawakamata wanasiasa wanaochochea vurugu mkoani Mtwara kwa kisingizio cha kuzuia gesi isitoke mkoani...
View ArticleMSICHANA ALIYEBAKWA NA WANAUME 20 SASA NI MJAMZITO WA MIEZI SABA...
Msichana huyo akiwa mbele ya nyumba inayodaiwa ilitumika kufanyia unyama huo.Msichana mmoja wa Texas ambaye alikuwa na miaka 11 tu wakati alipobakwa na wanaume 20 kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu...
View ArticlePOLISI WALIOBAMBIKIA KESI YA FUVU LA MTU WAFUKUZWA KAZI...
Kamanda Faustine Shilogile.Askari Polisi watatu kati yao wawili wenye cheo cha Sajini na mwingine Koplo wa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, wamefukuzwa kazi baada ya kufikishwa mahakama ya Kijeshi...
View ArticleMWANASHERIA WA KIKE ALIYESHITAKIWA KWA KUFANYA UKAHABA NAYE AWASHITAKI...
Reema Bajaj.Mwanasheria mmoja wa Illinois ambaye alipatikana na hatia ya kufanya ngono na mwanaume mmoja kwa malipo ya Dola za Marekani 100 anamshitaki aliyekuwa wakili wake wa utetezi na mawakili...
View ArticleACHOMA MOTO ZAHANATI KWA WIVU WA KIMAPENZI...
Kamanda Faustine Shilogile.Sehemu ya jengo la Zahanati ya Digarama katika Wilaya ya Mvomero, imechomwa moto na mtu anayedaiwa kufanya hivyo kutokana na wivu wa mapenzi. Baadhi ya wananchi wa kijiji...
View ArticleWATU 91 WATIWA MBARONI KWA VURUGU ZA GESI MTWARA...
Wananchi wakiandamana muda mfupi kabla ya kuzuka vurugu hizo mkoani Mtwara.Serikali imelaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara juzi na imeapa kuwasaka waasisi wa vurugu hizo ndani na nje ya Mtwara na...
View ArticleSHEHA AJERUHIWA BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR...
Sheha Mohammed Omar Said `Kidevu’.Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yameendelea kujitokeza hapa, na juzi jioni Sheha wa Shehia (Kata) ya Tomondo Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Mohammed Omar Said...
View ArticleSARAFU MOJA AFRIKA MASHARIKI KATIKA HATUA ZA MWISHO...
Samuel Sitta.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka ujao wa fedha huku akieleza mikakati iliyowekwa katika uanzishwaji wa Umoja...
View Article