MAWAZIRI WAIPASHA KAMATI YA BAJETI, WASEMA NI KIGEUGEU
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum na Naibu wake, Mwigulu Nchemba, wamehoji utendaji kazi wa Kamati ya Bajeti katika kuzungumzia vyanzo mbadala vya mapato na deni la Taifa sasa.Wamesema hali hiyo...
View ArticleMATOKEO YA 'MOKO' KUJUMLISHWA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE NA SITA
Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa,...
View ArticleATCL YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA AFRIKA KUSINI
Kampuni ya Ndege ya Tanzania(ATCL) imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya Interair ya Afrika Kusini, itakayowezesha kampuni hiyo kuwa na safari tatu kwa wiki kati ya Dar es Salaam na...
View ArticleWAFANYABIASHARA MCHIKICHINI WAOMBA 'HISANI' YA UBINAADAMU
Wafanyabiashara wa soko la Ilala Mchikichini ambao wanadai kupoteza mitaji yao na kuwaacha na madeni katika taasisi za fedha kutokana na moto ulioteketeza soko hilo wamesikitishwa na kitendo cha...
View ArticleDK SALIM AZINDUA KAZI ZA PROFESA HAROUB OTHMAN
Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Afrika (AU), Dk. Salim Ahmed Salim amesema kuwa mwanazuoni maarufu marehemu Profesa Haroub Othman alikuwa muumini wa Muungano wa serikali mbili.Akizungumza wakati wa...
View ArticleWATU 13,846 WAKAMATWA KWA BIASHARA YA MIHADARATI
Watu 13,846 wamekamatwa kwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya nchini katika kipindi cha miaka mitano.Watu hao wamekamatwa kuanzia Januari mwaka 2009 hadi Mei mwaka huu. Pia kilo 966.06 za...
View ArticleTBC YAPOKEA GARI LA KISASA LA KURUSHIA MATANGAZO KUTOKA CHINA
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limepokea gari la kisasa la matangazo (OB-Van) lenye thamani ya Sh bilioni sita kutoka kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.Msaada huo ulikabidhiwa jana kwa...
View ArticleCUF YAWEKA NGUVU MPYA KUSHINDA UCHAGUZI MWAKANI
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye juzi usiku aliibuka mshindi na kuendelea kutetea nafasi yake hiyo ndani ya chama, amesema chama kimeweka nguvu mpya ili...
View ArticleAKANA KUMNG'ATA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI
Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng'ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.Alisomewa maelezo...
View ArticleSERENGETI YAPOTEZA ZAIDI YA TEMBO 87 KWA MIAKA MITANO
Wakati Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na wadau wa uhifadhi wakitafuta mbinu za kuzuia mauaji ya tembo yanayoendelea kwenye hifadhi mbalimbali nchini, zaidi ya tembo 87 wameuawa katika kipindi cha...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU TRAFIKI KUVIZIA MAGARI
Serikali imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
View ArticleUGOMVI WA JAJI WEREMA NA KAFULILA WACHUKUA SURA MPYA
Tafrani iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia...
View ArticleARFI AITUNISHIA MISULI CHADEMA, ASEMA JIMBO LAKE KWANZA
Siku moja baada ya Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Amour Arfi (Chadema) kushangaza kambi ya upinzani kwa kupiga kura ya kuunga mkono Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, mwenyewe amesema...
View ArticleURUGUAY MANAGER QUITS FIFA POST OVER 'EXCESSIVE' SUAREZ BAN
Uruguay coach Oscar Tabarez accused FIFA of an indiscriminate use of power by imposing an "excessive" punishment on striker Luis Suarez and he said he would resign from positions he holds within world...
View ArticleBRAZIL SURVIVE CHILE SHOOTOUT TO MAKE QUARTER-FINALS
Brazil came through their last-16 match in breathtaking fashion as they beat Chile3-2 in a penalty shootout in Belo Horizonte.The host nation earned a meeting with either Colombiaor Uruguayafter seeing...
View ArticleArticle 3
Kiungo wa Brazil, David Luiz akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la kuongoza dhidi ya Chile katika mecho wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia iliyochezwa usiku huu kwenye Uwanja wa Mineirao,...
View ArticleArticle 2
Mshambuliaji wa Brazil, Hulk akituliza mpira kabla ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Chile katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora iliyochezwa kwenye Uwanja wa Mineirao, mjini Belo...
View ArticleArticle 1
Mshambuliaji wa Chile, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dhidi ya Brazil na kufanya matokeo kusomeka 1-1 katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora...
View Article