WAJAWAZITO WASIOONGOZANA NA WENZA WANYIMWA MATIBABU KLINIKI
Idadi kubwa ya wajawazito katika Tarafa ya Mwese, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wanalazimika kutohudhuria kliniki na kujifungulia nyumbani, kwa madai ya kukataliwa kuhudumiwa...
View ArticleMADIWANI MONDULI WAMSIKITISHA LOWASSA
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa ameelezea kusikitishwa kwake na utendaji usioridhisha wa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, akitolea mfano kushindwa kutekeleza maamuzi ya vikao vya Baraza...
View ArticleJWTZ KUJENGA DARAJA MABWEPANDE
Manispaa ya Kinondoni imeingia makubaliano na Shirika la Mzinga Holdings la Jeshi la Wananchi (JWTZ) mkoani Morogoro kwa ajili ya ujenzi wa daraja katika eneo korofi la Mabwepande.Makubaliano hayo...
View ArticleWAZIRI ASEMA TANZANIA INA HIFADHI YA KUTOSHA YA NAFAKA
Tanzania ina hifadhi ya kutosha ya chakula cha mazao ya nafaka, kinachofikia tani 244,830.Chakula hicho kilichohifadhiwa katika Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula nchini (NFRA). Waziri wa Kilimo,...
View ArticleSEKRETARIETI YA AJIRA YABAINI VYETI 1,035 VYA KUGHUSHI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeshabaini vyeti vya kughushi 1,035 kutoka kwa baadhi ya waombaji kazi tangu mpango wa kuhakiki vyeti ulipoanza hadi mwezi Mei mwaka huu.Hayo...
View ArticleRAIS WA MALAWI AOA KWA SHILINGI MILIONI 155
Baada ya miaka 30 ya kuishi bila ya ndoa, Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, hatimaye amefunga pingu za maisha na mbunge wa zamani wa Jimbo la Balaka, Gertrude Maseko.Kabla ya ndoa yao...
View ArticleVYAMA VINGI NCHINI VYAMKUNA RAIS KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete amesema mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa na kuiwajibisha Serikali.Hata hivyo, Rais Kikwete amesema...
View ArticleDALADALA LAACHA NJIA NA KUUA WATU SITA, LAJERUHI ZAIDI YA 12
Watu sita wamekufa na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali, iliyohusisha magari manne kugongana.Yaligongana katika barabara ya Bagamoyo, eneo la njia panda ya Lugalo katika Manispaa ya Kinondoni jijini...
View ArticleKLOSE EQUALS RECORD AS GERMANY AND GHANA DRAW EPIC
Miroslav Klose equalled Ronaldo’s World Cup scoring record, finding the net with his first touch after coming on in Germany’s exhilarating 2-2 draw with Ghana.A cagey first half saw few clearcut...
View ArticleTANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KWA WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2004-2013
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Simu:022-2120412/2120403/2120417 Faksi:022-2113271, Tovuti: www.moe.go.tzTANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA...
View ArticleArticle 18
Peter Odemwingie akishangilia na wenzake bao pekee aliloifungia timu yake ya Nigeria dhidi ya Bosnia katika mechi ya Kundi F ya Kombe la Dunia iliyochezwa kwenye Uwanja wa Pantanal mjini Cuiaba jana....
View ArticleArticle 17
Mshambuliaji wa Ujerumani, Miroslav Klose akishangilia baada ya kufunga bao la kusawazisha dhidi ya Ghana katika mechi ya Kundi G ya Kombe la Dunia iliyochezwa kwenye Uwanja wa Castelao mjini...
View ArticleArticle 16
Mchezaji wa Iran, Mehrdad akirusha daluga lake hewani kuwania mpira na mshambuliaji wa Argentina, Sergio Kun Aguero katika mechi ya Kundi F kuwania Kombe la Dunia baina ya timu hizo iliyochezwa kwenye...
View ArticleArticle 15
Wachezaji wa Costa Rica (kutoka kushoto) Giancarlo Gonzalez, Patrick Pemberton na Oscar Duarte wakilia kwa furaha baada ya timu yao kuichapa Italia bao 1-0 katika mechi ya Kundi D ya kombe la Dunia...
View ArticleLAST-GASP ORIGI FIRES BELGIUM INTO THE LAST 16
Divock Origi struck a late winner as Belgium booked their place in the last 16 with an unconvincing 1-0 win over Russia at the Maracana.The Lille forward came off the bench to crash high into the net...
View ArticleArticle 13
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji wakimpongeza mwenzao, Divock Origi baada ya kufunga bao pekee lililoivusha timu yao kuingia kwenye hatua ya 16 Bora ya Fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea...
View ArticleTBL YACHIMBA KISIMA KING'ONG'O
Zaidi ya familia 700 katika mtaa wa Kimara King’ongo Kata ya Saranga,jijini Dar es Salaam, zinatarajiwa kunufaika na msaada wa mradi wa kisimacha maji uliotolewa na Kampuni ya Bia nchini (TBL)...
View ArticleWANASHERIA 400 KUJIUNGA NA TAASISI YA MAFUNZO
Taasisiya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) inatarajia kudahili wanafunzi takribani 400 kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo, yanayotarajia kuanza Agosti mwaka huu.Akizungumza juzi Ofisa...
View Article