VIONGOZI ILALA WACHANGIA DAMU KUOKOA WAGONJWA
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa na Diwani wa Kata ya Kipawa, Bonnah Kaluwa jana waliwaongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika kampeni ya kutoa damu ili kuchangia Benki ya Damu...
View ArticleSEKRETARIETI YA AJIRA YAZIPA RUNGU SERIKALI ZA MITAA
Serikali za mitaa zitaruhusiwa kuanza kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za chini katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.Akihojiwa katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya Mnazi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA CHINA ATEMBELEA NGORONGORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao alitembelea Hifadhi ya Ngorongoro na kuisifia Tanzania kwa jinsi inavyosimamia masuala ya uhifadhi wa wanyamapori.Kiongozi huyo wa China alitua...
View ArticleNACTE YAFUNGUA OFISI TANO ZA KANDA
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ( NACTE), imefungua ofisi tano za kanda, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara ya kuwekeza katika eneo la usimamizi wa...
View ArticleWATEJA WA UMEME, MAJI HAWAFAHAMU HAKI ZAO
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC) limesema sekta za nishati na maji , zinakabiliwa na changamoto ya watumiaji wa huduma hizo, kutokuwa na uelewa kuhusu haki na...
View ArticleWAWILI WAJITOKEZA KUMKABILI LIPUMBA UCHAGUZI MKUU CUF
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu...
View ArticleWIKI YA MAJIBU YA WAZIRI WA FEDHA YAANZA
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, anasubiriwa wiki hii kutegua kitendawili cha hoja za wabunge, kuhusu punguzo la kodi katika mishahara, vyanzo vipya vya mapato na utekelezaji wa miradi wa...
View ArticleBODABODA ZAUA WATU 218, KUJERUHI 1,304 TANGU JANUARI
Polisi imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa. Msemaji wa Jeshi la...
View ArticleKAMPUNI MBILI ZA UMEME KUANZISHWA BADALA YA TANESCO
Mpango wa kuligawa Shirika la Umeme (Tanesco) kuwa mashirika mawili umeiva, baada ya Serikali kupitisha Mkakati na Mwelekeo wa Sekta Ndogo ya Umeme (ESI).Mpango huo utekelezaji wake unaanza Agosti...
View ArticleVODACOM YAANDAA GULIO LA WAZI LEADERS CLUB
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeandaa gulio la wazi kwa ajili ya mauzo ya bidhaa mbalimbali, ikiwemo simu na ipad kuwezesha umma kupata bidhaa hizo kwa gharama nafuu. Gulio hilo maarufu...
View ArticleSUA YAKWANZA DUNIANI KUGUNDUA CHANJO YA KUKU
Wafugaji wa kuku nchini wataanza kupata neema ya kupata dawa ya mifugo yao kwa bei rahisi, baada ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kugundua chanjo ya kwanza ya kuku duniani dhidi ya ugonjwa...
View ArticleVETA, CHUO CHA UTALII KENYA KUTOA MAFUNZO
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Veta) imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chuo cha Utalii Kenya (KUC) wa kutoa mafunzo, ushauri na kufanya utafiti kwenye sekta ya utalii.Akizungumza baada ya...
View ArticleMAOFISA ELIMU WAWILI KORTINI KWA KUHUJUMU UCHUMI
Maofisa Elimu wawili wa Manispaa ya Tabora na Ofisa Utamaduni, wamefikishwa kujibu mashitaka mawili ya kuhujumu uchumi.Waliofikishwa mahakamani ni Ofisa Elimu Taaluma, Rajab Kiteu, Ofisa Elimu Ufundi,...
View ArticleMABADILIKO TABIANCHI TISHIO VISIWANI ZANZIBAR
Mabadiliko ya tabia nchi yameathiri visiwa vya Zanzibar na kutishia ustawi wa kilimo hususani cha mpunga. Waziri wa Maji, Ujenzi na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban alisema hayo jana akisisitiza...
View ArticleMBUNGE AWATUPIA KIJEMBE WANAWAKE BUNGENI
Mbunge wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF) amesema wanawake wameadhibiwa na Mungu katika maandiko matakatifu na kuhoji hawaoni kuwa harakati zao za kudai haki sawa, ikiwemo uwakilishi wa asilimia 50 kwa...
View ArticlePINDA AALIKA WAWEKEZAJI KATIKA MADINI NA NISHATI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania na China kutumia fursa zilizopo katika nchi hizo kuwekeza katika sekta mbalimbali ili kuinua uchumi wao na mataifa haya...
View ArticleMBOWE ATAKA WANAOUNDA UKAWA WAJIIMARISHE
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa....
View ArticleMAJAMBAZI WAUA SISTA KANISA KATOLIKI NA KUPORA FEDHA
Majambazi wamemuua kwa kumpiga risasi Mhasibu wa Kanisa Katoliki, Usharika wa Makoka, jijini Dar es Salaam, Sista Prisencia Kapuli na kisha kumpora fedha zinazokadiriwa kuwa zaidi ya Sh milioni 10...
View Article