Article 0
Kaimu Meneja wa Mafao ya Matibabu Dk. Lucy Simbila akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mgeni Rasmi Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Geita Dk. Ndinisyu Daniel (kushoto) kufungua zoezi hilo. Wengine ni Dr. Ali...
View ArticleWAFANYABIASHARA WALIOPOTEZA MALI MCHIKICHINI WAORODHESHWA
Wiki moja baada ya moto kuteketeza soko la Mchikichini, wafanyabiashara wa soko hilo waliopoteza mali zao wameorodheshwa majina yao ili kusaidiwa ikiwemo orodha hiyo kupelekwa kwenye taasisi za fedha...
View ArticleArticle 16
Kaburi la aliyekuwa mwongozaji filamu maarufu nchini Tanzania, George Otieno Okumu maarufu kama 'Tyson' mara baada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Siaya, nchini Kenya jana. Tyson alifariki...
View ArticleArticle 15
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Tyson likiwa limewekwa tayari kwa waombolezaji kuanza zoezi ya utoaji heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu kijijini kwake Siaya, Kenya jana.
View ArticleArticle 14
Waombolezaji wakipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno Okumu 'Tyson' kutoa heshima za mwisho kabla ya mazishi yaliyofanyika kijijini kwake Siaya, nchini Kenya jana.
View ArticleArticle 13
Waombolezaji wakiwa wameketi kusubiria zoezi la kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mwongozaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, George Otieno Okumu 'Tyson' kijini kwake Siaya, nchini Kenya...
View ArticleDC AAGIZA KUKAMATWA WAGANGA WA JADI WANAOSAIDIA WAJAWAZITO
Mkuu wa Wilaya Kibondo, Venance Mwamotto ametoa agizo kukamatwa kwa waganga wa kienyeji wanaowapa wajawazito dawa za kuwasaidia kujifungua.Mkuu huyo wa Wilaya amesema kwamba vitendo hivyo vinasababisha...
View ArticleEAC KUREKEBISHA SHERIA YA SOKO LA PAMOJA
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kushirikiana na nchi wanachama inazifanyia kazi sheria ambazo ni vikwazo kwa utekelezaji wa Itifaki ya Soko la Pamoja iliyosainiwa mwaka 2010.Katibu Mkuu wa EAC,...
View ArticlePROFESA MWANDOSYA AONYA WASOMI KUTEGEMEA VYETI
Wasomi wengi nchini wameshindwa kujiajiri kutokana na kutojua kuwa elimu waliyonayo imewafungua akili ili waweze kufanya mambo yao wakiwa na uelewa mzuri hali inayowafanya kutegemea vyeti...
View ArticleJARIBIO CHANJO YA MALARIA LAONYESHA MAFANIKIO
Tanzania ni nchi ya kwanza katika bara la Afrika kufanya jaribio la chanjo ya ugonjwa wa malaria ambapo watu watatu waliofanyiwa majaribio ya chanjo hiyo imeonesha mafanikio makubwa.Chanjo hiyo...
View ArticleTMAA YAOKOA BILIONI 1.6/- VITA YA UTOROSHAJI MADINI
Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) umefanikiwa kudhibiti utoroshaji wa madini yenye thamani takribani Sh bilioni 15.72 katika viwanja vitatu vya ndege hapa nchini tangu mwezi Julai 2012 hadi...
View ArticleMADEREVA WATATU WA BODABODA WAFA KWA AJALI
Madereva watatu wa bodaboda wamekufa katika matukio matatu tofauti yaliyohusisha ajali za barabarani.Katika tukio la kwanza, Ally Omary (29) amekufa papo hapo na abiria wake kupata majeraha baada ya...
View ArticleWABUNGE WANOGESHA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda ameongoza wananchi wa Mkoa wa Iringa waishio Dar es Salaam kwenye harambee ya kuchangia Jubilee ya Miaka 25 ya Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo Kuu...
View ArticleMWANAUME AJINYONGA KWA WIVU WA MAPENZI
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Cosmas Njiliwi (45) mkazi wa Kijiji cha Msikisi, Kata ya Namatutwe Halmashauri ya Wilaya Masasi mkoani Mtwara, amejinyonga kwa kutumia shuka yake kwa kile...
View ArticleMSAKO WA VITA DHIDI YA UJANGILI SASA ANGANI NA ARDHINI...
Ahadi za wadau wa uhifadhi na vita dhidi ya ujangili nchini wameanza kutimiza ahadi zao baada ya jana kukabidhi helikopta ya kisasa itakayotumika katika kazi hiyo maalumu kwa ajili ya Pori la Akiba la...
View ArticleRAIS MPYA MALAWI KUOA WIKI IJAYO, ALIISHI MIAKA 30 BILA MKE
Wiki mbili baada ya kuitwaa rasmi Ikulu ya Malawi, Rais mpya wa nchi hiyo, Profesa Peter Mutharika anatarajiwa kufunga ndoa na Gertrude Maseko Jumamosi ijayo, baada ya kuishi maisha ya ukapera kwa...
View ArticleSHUHUDA ASIMULIA MWENZAO ALIVYOUAWA KWA BOMU ZANZIBAR
Siku moja baada ya mlipuko wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu na kusababisha kifo na kujeruhi watu saba eneo la Darajani mjini Unguja, mmoja wa majeruhi ameelezea jinsi mwenzao alivyouawa wakati...
View ArticleCOSTA RICA SHOCK WOEFUL URUGUAY
Costa Rica pulled off the first shock of the 2014 World Cup with a richly deserved 3-1 Group D win over Uruguay in Fortaleza.Having fallen behind to an Edinson Cavani penalty, Costa Rica hit back with...
View ArticleITALY'S BALOTELLI CONDEMNS ENGLAND TO OPENING DEFEAT
Mario Balotelli headed the winner as England made a losing start at the World Cup, going down 2-1 to Italy in Manaus.The striker pounced on Antonio Candreva's back=post cross early in the second half...
View ArticleGERVINHO AND BONY STRIKE AS IVORY COAST SINK JAPAN
Gervinhoheaded the winner as Ivory Coast scored a quick-fire double to come from behind and beat Japan2-1 in their Group C clash in Recife.The former Arsenalforward nodded in Serge Aurier's delicious...
View Article