MAJAMBAZI WAUA POLISI KITUONI NA KUPORA SILAHA
Majambazi wamevamia Kituo cha Polisi Kimanzichana mkoani Pwani, na kuua askari mmoja, D.9887 Koplo Joseph Ngonyani, na kupora silaha tano zenye risasi. Silaha hizo ni Shot gun tatu za kiraia na SMG...
View ArticleWAGANGA WA KUTIBU KWA SHARTI LA NGONO WAKAMATWA
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambayo masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili...
View ArticleArticle 4
Mkurugenzi wa Mipango wa TASAF, Amadeus Kamagenge akitoa maelezo juu ya mpango wa kuzinusuru kaya masikini na zilizo katika mazingira hatarishi wakati wa warsha elekezi ya siku mbili kwa maofisa...
View ArticleArticle 3
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akifuatilia kwa karibu wadau wakitoa maoni wakati wa warsha ya wadau wanaoshughulika na utafutaji na uzalishaji gesi na...
View ArticleArticle 2
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akigombewa kusalimiwa na wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai mkoani Kilimanjaro, wakati wanafunzi hao walipofanya ziara ya kimafunzo bungrni...
View ArticleArticle 1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Bradley Childress alipotembelea Ikulu mjini Unguja jana kujitambulisha.
View ArticlePRESSURE MOUNTS ON AUTHORITIES AHEAD OF WORLD CUP OPENER
The subway strike that crippled Sao Paulo from Thursday may have been temporarily suspended but things are not looking good for the host city of the World Cup’s opening match.On Monday night, the...
View ArticleArticle 17
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akionesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2015 wakati akiingia Bungeni mjini Dodoma kwa ajili ya kuisoma rasmi jana.
View ArticleArticle 16
Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakikusanya mabaki ya mali zao mapema jana baada ya moto mkubwa kuteketeza soko la Mchikichini, maeneo ya Karume, Ilala Dar es Salaam usiku...
View ArticleTIB, EPZA WASAINI MKATABA WA MKOPO
Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imesaini makubaliano na Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) kwa ajili ya kupata mikopo ya kujenga miundombinu itakayovutia wawekezaji kuanzisha...
View ArticleBUKOBA WAPEWA MAFUNZO KUJIKINGA NA DENGUE
Wakazi wa Mkoa wa Kagera wamehadharishwa juu ya ugonjwa wa dengue kwa kutakiwa kuweka mazingira katika usafi. Wametakiwa kusafisha mazingira ya nyumba na mifereji inayozunguka nyumba zao, kufyeka nyasi...
View ArticleKESI YA KIKATIBA YAPANGIWA JOPO LA MAJAJI
Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa...
View ArticleMKAPA ADAI VIONGOZI WA SASA AFRIKA SI WAJASIRI
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amesema hivi sasa hakuna viongozi wa Afrika wenye ujasiri na uthubutu kama walivyokuwa viongozi waasisi waliopigania uhuru wa nchi za Afrika na kukataa utawala wa...
View ArticleALIYEMNG'ATA MSICHANA WAKE WA KAZI APANDISHWA KORTINI
Mwanamke aliyekuwa akituhumiwa kumng’ata msichana wake wa kazi sehemu mbalimbali za mwili, Amina Maige (42), mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam amefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kudhuru...
View ArticleWENYE MADENI UDOM WARUHUSIWA KUFANYA MITIHANI
Serikali imewahakikishia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) walioshindwa kulipa ada kwamba watafanya mtihani na kama yapo madeni, watayalipa baada ya kumaliza. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alitoa...
View ArticleULINZI MKALI KWA WATUHUMIWA WA BOMU LA ARUSHA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilipewa ulinzi mkali wa Polisi wakati watuhumiwa tisa wa mlipuko wa bomu, uliotokea baa ya Arusha Night Park, walipofikishwa mahakamani hapo.Wakati askari wenye...
View ArticleWAGANGA WA KUTIBU KWA NGONO WATINGWA KWA MWANASHERIA
Jalada la kesi ya waganga wa jadi wawili wanaotuhumiwa kubaka baada ya kutoa tiba kwa wanawake ili wapate watoto, kwa masharti ya kushiriki nao ngono bila kinga, limepelekwa kwa Mwanasheria wa Kanda wa...
View ArticleHIZI NDIZO SABABU YA KUTEKETEA MOTO SOKO LA MCHIKICHINI
Miundombinu mibovu katika Soko la Mchikichini, jijini Dar es Salaaam, lililoteketea juzi kwa moto, inadaiwa kusababisha magari ya Zimamoto na Uokoaji kushindwa kupenya hadi katikati ulikoanzia....
View Article