$ 0 0 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Bradley Childress alipotembelea Ikulu mjini Unguja jana kujitambulisha.