MFANYABIASHARA WA MADINI AJIUA KWA RISASI ARUSHA
Mfanyabiashara wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema...
View ArticleMWANASHERIA MKUU Z'BAR ALIA NA TUME YA PAMOJA YA FEDHA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, amesema kushindwa kuanza kazi kwa Tume ya Pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndiyo chanzo kikubwa cha...
View ArticleWABUNGE WA TANZANIA EAC WAPINGA SPIKA KUNG'OLEWA
Wabunge wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana...
View ArticleWASHITAKIWA KESI YA 'MTOTO WA BOKSI' KUHOJIWA UPYA POLISI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, imekubali ombi la upande wa mashitaka, katika kesi ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra Mvungi (4), kutaka washitakiwa wahojiwe upya Polisi,...
View ArticleHUU NDIO MKOA WENYE GHARAMA ZAIDI KATIKA TANZANIA
Wakati Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, unapanga kuongeza nauli za daladala kwa wakazi wa Dar es Salaam ili kukabiliana na tatizo sugu la foleni, taarifa ya...
View ArticleArticle 3
Rais Jakaya Kikwete akishiriki dua pamoja na waombolezaji wengine kumwombea msanii maarufu wa vichekesho Said Ngamba 'Alwatan Small' wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Tabata...
View ArticleArticle 2
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpa pole mjane wa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo nyumbani kwake Tabata Kimanga jana.
View ArticleArticle 1
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Mzee Small, Tabata Kimanga, Dar es Salaam jana. Kulia ni mtoto wa marehemu na kushoto ni Rais wa Shirikisho la Filamu nchini...
View ArticleArticle 0
Baadhi ya waombolezaji wakiendelea na dua nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' jana.
View ArticleSUMATRA YATAKA USHIRIKIANO KUDHIBITI KUPAA NAULI ZA DALADALA
Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Mamlaka ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) kuondoa tatizo la magari ya abiria kupandisha nauli kiholela.Meneja Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray...
View ArticleNHC YAKABIDHI NYUMBA 40 BENKI KUU
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi jana alikabidhi nyumba 40 ambazo zimenunuliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) huku akizitaka taasisi nyingine kujitosa kujengewa...
View ArticleDAWASCO YAELEZA CHANZO CHA SHIDA YA MAJI DAR
Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasco), limesema tatizo la maji katika baadhi ya maeneo jijini limetokana na kuzimwa kwa mitambo pamoja na kupasuka kwa bomba la maji Ruvu...
View ArticleMUUNGANO WA MAKANISA KUOMBEA KATIBA MPYA
Muungano wa makanisa uitwao Africa Let’s Worship (AFLEWO) umeandaa mkesha wa kusifu, kuabudu na maombi kwa Taifa kwa ajili ya mchakato wa Katiba mpya na Uchaguzi Mkuu mwakani.Kwa mujibu wa waandaaji wa...
View ArticleNKASI WAITAKA 'CHAPA' YA DAGAA WA KIGOMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Kilimuka Garigunga anataka dagaa ambao wamepewa jina la ‘dagaa wa Kigoma’ kubadilishwa na kuitwa wa Nkasi kwa kile alichodai...
View ArticleMCHIMBAJI MADINI ALAZWA BAADA YA KUJIPIGA RISASI
Mchimbaji madini wa Kampuni ya TanzaniteOne wa Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, Mosses Komba (28) anadaiwa kujipiga risasi akiwa ndani ya gari. Komba ambaye amelazwa...
View ArticleTRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA BARA
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umesitisha safari za treni ya abiria kutokana na kutetereka kwa mojawapo ya madaraja katika Bonde la Mto Ruvu katika reli ya kati. Taarifa iliyotolewa jana...
View ArticleWAMACHINGA WATAWANYWA KWA MABOMU MWANZA
Polisi mkoani hapa wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga waliocharuka baada ya kuona vibanda vyao walivyojenga maeneo yasiyoruhusiwa vikibomolewa.Machinga zaidi ya 10...
View ArticlePROFESA TIBAIJUKA ANUSURIKA KIFO AJALI YA GARI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka juzi alinusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kupata ajali kwa kugonga punda katika Kijiji cha...
View ArticleBAJETI KUU KUSOMWA LEO BUNGENI DODOMA
Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.Tayari Waziri...
View Article