WASHITAKIWA 'MTOTO WA BOKSI' WAKABILIWA KESI YA MAUAJI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imewabadilishia mashtaka washitakiwa watatu katika kesi ya marehemu, Nasra Mvungi (4) waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya kula njama na kufanya ukatili, sasa...
View ArticleBAJETI YA SERIKALI 2014/2015 YAFYEKA MISAMAHA YOTE YA KODI
Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 19.87, imewasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, huku ikiwabana wananchi katika bidhaa na huduma za starehe, na kipaumbele kikubwa kikiwa...
View ArticleArticle 4
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa kongamano la uwekezaji lililofanyika Dubai.
View ArticleArticle 3
Baadhi ya wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini, Dar es Salaam jana.
View ArticleTWO-GOAL NEYMAR FIRES BRAZIL TO CONTROVERSIAL OPENING WIN
World Cup Group A, Arena de Sao Paulo, Lisbon, Brazil 3 (Neymar 29, 71 pen, Oscar 90) Croatia 1 (Marcelo og 11)The Barcelona forward converted a hotly disputed spot-kick 19 minutes from time after Fred...
View ArticleDUTCH RIP SPAIN TO SHREDS WITH ASTONISHING DISPLAY
The 2014 World Cup has its first historic moment as the Netherlands hammered Spain5-1 in an incredible match in Salvador.The champions were not just beaten, but absolutely ripped to pieces by a...
View ArticleSERIKALI SASA KUNUNUA MAFUTA KWA ELEKTRONIKI
Serikali itaanzisha mfumo mpya wa kielektroniki wa kununua, kutunza na kuuza mafuta yanayotumika katika magari yake. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Bajeti...
View ArticleASKARI WAWILI WA TPA WAPANDISHWA KIZIMBANI
Askari wawili wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Jonas Bakari (25) na Hashim Salum (43) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumkata mtu mkono.Akisomewa mashitaka, Mwendesha Mashitaka, Vitalia...
View ArticleKINONDONI YATOA SHILINGI MILIONI 54 KUJENGA BARABARA ZA KATI 27
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetoa Sh milioni 54 kwa kata zake zote 27 zilizopo katika manispaa hiyo, kuhakikisha barabara za mitaa zinajengwa kwa kiwango cha lami nyepesi na kifusi.Ofisa...
View ArticleMUSWADA WA SHERIA YA BAJETI WAJA
Serikali inaandaa Muswada wa Sheria ya Bajeti, ambao utakamilika kabla ya mwisho wa mwaka 2014/15.Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya alisema hayo aliposoma hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
View ArticleMENEJA RAIA WA KIGENI TANZANITE ONE ATIWA MBARONI
Meneja Mauzo wa Kampuni ya madini ya Tanzanite One yenye makao yake Makuu jijini Arusha, Jacques Beytel (39) raia wa Afrika ya Kusini amekamatwa na maofisa wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha kwa kosa...
View ArticleMAADHIMISHO SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KUFANYIKA JUMATATU
Maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Mtoto wa Afrika, yataadhimishwa nchini Jumatatu Juni 16, mwaka huu katika ngazi ya mkoa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba alisema hayo...
View ArticleWANAOPEWA MISAMAHA YA KODI SASA KUTANGAZWA
Katika mwaka wa fedha 2014/15 Serikali itakuwa inatangaza watu wanaonufaika na misamaha ya kodi.Lengo la hatua hiyo ni kuongeza haki na usawa katika kutoa misamaha hiyo.Kauli hiyo imetolewa na Waziri...
View ArticleTIPER YAIPA SERIKALI GAWIO LA SHILINGI BILIONI 127
Serikali imepokea Sh bilioni 127 kutoka TIPER ikiwa ni gawio ambalo kampuni hiyo imekuwa ikilipa kwa wanahisa wake kila mwaka.Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Servarcius...
View ArticleWAWAKILISHI WAKERWA KUPAPASWA UWANJA WA NDEGE
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu kuweka vifaa vya kisasa vya ukaguzi kwa abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na kuacha tabia...
View ArticleBAJETI 2014/2015 YAKUNA WASOMI NA WANAHARAKATI
Wasomi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla wamepongeza Bajeti ya mwaka 2014/15 ya Sh trilioni 19 iliyowasilishwa bungeni juzi na kujikita zaidi katika kuimarisha miundombinu ya elimu, usafiri wa reli...
View ArticleHALMASHAURI 80 KUVUNA SHILINGI BILIONI 40 KWA NYUMBA ZA WALIMU
Serikali inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri.Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada...
View ArticleWASOMI 10,500 WASAILIWA KUJAZA NAFASI 70 TU UHAMIAJI
Katika hali inayoashiria ukubwa wa tatizo la ajira katika sekta rasmi nchini, juzi wasomi wa ngazi ya Chuo Kikuu 10,500 walijitokeza jana (pichani) kwenye usaili wa Idara ya Uhamiaji nchini inayohitaji...
View Article