Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4503

Article 4

$
0
0
Mkurugenzi wa Mipango wa TASAF, Amadeus Kamagenge akitoa maelezo juu ya mpango wa kuzinusuru kaya masikini na zilizo katika mazingira hatarishi wakati wa warsha elekezi ya siku mbili kwa maofisa ushauri na ufuatiliaji, waratibu wa mikoa, waratibu na wahasibu wa mamlaka ya eneo la utekelezaji wa halmashauri 22 nchini inayofanyika kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha SAUT, mjini Mtwara.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4503

Trending Articles