LEO NI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge leo atafungua maadhimisho ya siku ya Mazingira dunia yatakayofanyika kitaifa katika mkoani hapa.Akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleDC APONGEZWA KUPIGA MARUFUKU STAILI YA 'KATA K'
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka amepongezwa na vijana wilayani humo kwa uamuzi wake wa kuwapiga marufuku vijana wote wa kiume popote wilayani humo kuvaa suruali kwa mtindo...
View ArticleUMATI YATOA BAISKELI 40 KWA WAHUDUMU WA AFYA RUFIJI
Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) kimekabidhi baiskeli 40 zenye thamani ya sh milioni 4.8 wahudumu wa afya ya uzazi na ujinsia ngazi ya jamii waliopo katika Kata za Chumbi 'A' na Bungu...
View ArticleSIKIKA YATAKA WABUNGE WAPIGIE DEBE BAJETI YA AFYA
Asasi ya kiraia ya SIKIKA imewataka wabunge kuishawishi Serikali kuongeza bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwa lengo la kukabiliana na tatizo la ukosefu wa dawa muhimu na vifaa tiba katika...
View ArticleSERIKALI YAWAONYA MAKANDARASI MAFISADI
Serikali imeonya makandarasi wenye tabia ya kuhonga watumishi wa Serikali ili wapatiwe zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali kuacha mara moja.Onyo hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki na Katibu Mkuu wa...
View ArticleLAPF WAWEKA KIWANGO CHA MISAADA KWA JAMII
Mfuko wa Pensheni LAPF umesema kuanzia sasa misaada ya kijamii itakayotolewa na mfuko huo utakuwa ni kati ya Sh 500,000 na Sh milioni tatu.Uamuzi huo unatokana na mfuko huo kupokea maombi mengi,...
View ArticleWASIOONA WAOMBA KUPATIWA MSAADA WA FIMBO NYEUPE
Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) Manispaa ya Dodoma wamewaomba wasamaria kuwasaidia kupata fimbo nyeupe zitakazowatambulisha.Mratibu wa mradi wa Ulingo wa majadiliano kuhusu uwezeshwaji, ujumuishwaji...
View ArticleMAJAMBAZI WAUA, WAPORA SHILINGI MILIONI 20 ARUSHA
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha aina ya shortgun wamepora kiasi cha Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureua de Change...
View ArticleSHILINGI BILIONI 7 ZATENGWA KUKABILI KERO YA MAJI DAR
Serikali imetenga Sh bilioni saba katika mwaka wa fedha 2014/15, kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi ili kupisha mradi wa bwawa la Kidunda, litakalotumika kukabili adha ya maji jijini Dar es...
View ArticleMAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA KWA SARATANI
Mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, Shida Salum, amefariki dunia baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya saratani. Akizungumza na mwandishi, Dar es Salaam jana, mtoto wa...
View ArticleMTOTO WA BOKSI KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa zaidi ya miaka mitatu, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini...
View ArticleArticle 17
Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na huduma kwa Wateja wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akifurahia jambo na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006), Absalom Kibanda wakati...
View ArticleArticle 16
Daladala zikipita kwenye kituo cha Mwenge, Dar es Salaam bila kusimama popote ikiwa ni siku ya kwanza tangu wasafirishaji hao kuamriwa kuacha kutumia kituo hicho na kuanza kutumia Kituo cha Makumbusho...
View ArticleArticle 15
Warembo 12 wanaotarajiwa kuwania taji la Mrembo wa Mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2014 wakiwa katika pozi la picha kwenye Hoteli ya Sal Salnero mjini Moshi. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 6,...
View ArticleArticle 14
Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania "Airtel Diva", Aminitin Mbamba (kulia) akikabidhi kwa niaba ya wenzake msaada wa moya kati ya viti viwili vya magurudumu, machela za...
View ArticleFRANK LAMPARD ANNOUNCES CHELSEA DEPARTURE
Chelsea's all-time record goalscorer Frank Lampard announced on Monday he was leaving the Londoners after a 13-year spell with the Stamford Bridge club.The England World Cup midfielder, who joined the...
View Article"CONFUCIUS" WA UDOM WATOA MISAADA KWA YATIMA
Taasisi ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma kimetoa misaada ya huduma za utafiti wa afya na dawa zenye thamani ya Shilingi milioni moja kwa Kituo cha watoto yatima cha Matumaini kilichopo mjini...
View ArticleMAITI AKUTWA AKIELEA MACHIMBO YA KOKOTO TEMEKE
Maiti mwanamume aliyetambulika kwa jina la Hussein Seif (40) amekutwa akielea kwenye mashimo ya machimbo ya kokoto, Wilaya ya Temeke. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema,...
View Article