Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Article 14

$
0
0
Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania "Airtel Diva", Aminitin Mbamba (kulia) akikabidhi kwa niaba ya wenzake msaada wa moya kati ya viti viwili vya magurudumu, machela za kisasa mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya milioni 5/- kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mary Haule, kwa ajili ya matumizi ya wagonjwa hospitali hapo, mwishoni mwa wiki.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Trending Articles