TAZARA YATAKIWA KULIPA FIDIA KWA KUSTAAFISHA KABLA YA UMRI
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeiamuru Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) iwalipe fidia wafanyakazi 270 kwa kuwastaafisha kwa lazima kabla ya umri halali wa kustaafu. Wafanyakazi hao...
View ArticlePINDA KUSHIRIKI MKUTANO WA MASHAURIANO DART
Mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) unafanyika leo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Katika...
View ArticleTRENI YA KWENDA BARA KUANZA SAFARI LEO
Huduma ya usafiri wa treni ya abiria kuelekea bara zinaanza rasmi leo, huku, Kampuni ya Reli ya Tanzania (TRL) ikiwahakikishia wananchi kutokuwa na hofu juu ya usafiri huo. Usafiri huo ulisitishwa...
View ArticleHATARI! MACHINJIO 20 TU YALIYOSAJILIWA KATI YA 900
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema kati ya machinjio zaidi ya 900 yaliopo nchini, ni 20 pekee yamesajiliwa jambo linalochangia huduma mbovu isiyozingatia viwango vinavyotakiwa. Imesema ilitoa...
View ArticleNBAA WAZINDUA MITAALA MIPYA YA MASOMO
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali (NBAA) imezindua mitaala mipya ya masomo na imetakiwa kutoa elimu inayokidhi viwango na kumuwezesha mhitimu kufanya kazi mahali popote...
View ArticleDPP AIOMBA MAHAKAMA KUU ITUPE OMBI LA SHEHE PONDA
Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali ombi la Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Shekhe Issa Ponda kusimamisha kesi ya uchochezi...
View ArticleALOE VERA NI SALAMA KWA UTENGENEZAJI VIPODOZI
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamiii imesema matumizi ya mmea wa Aloe Vera ni salama katika utengenezaji wa vipodozi. Kutokana na hali hiyo, ndio maana Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA) hadi...
View ArticleWATUMISHI 11 WA SERIKALI WAKAMATWA KWA MIHADARATI
Watumishi 11 wa vitengo vinavyodhibiti dawa za kulevya, wamekamatwa au kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yalisemwa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri...
View ArticleALIYEUAWA NA MAJAMBAZI KATIKA UPORAJI ARUSHA ATAMBULIWA
Aliyekuwa katika tukio la uporaji wa Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change, ametambuliwa kuwa ni mwalimu mstaafu wa jijini Arusha,...
View ArticleAJIANDAA KUZUIA SIKU 60 ZA NYONGEZA BUNGE LA KATIBA
Mjadala wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuibuka upya wakati Bunge la Bajeti likienda ukingoni ambapo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba ameibuka na hoja ya kupinga nyongeza ya...
View ArticleArticle 17
Kamanda wa Polisi mkoani Iringa, Ramadhani Mungi akionesha lori la Kampuni ya Dhandho lililochomwa moto na dereva na utingo wake baada ya kufaulisha mali zote kwa lengo la kuiba kando ya barabara ya...
View ArticleArticle 16
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dar Rapid Transit) kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo.
View ArticleArticle 15
Mkurugenzi wa Masoko wa BASATA, Vivian Shalua akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Siku ya Msanii (Msanii Day) kwenye Hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam mapema leo. Kulia ni...
View ArticleArticle 14
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa , Eng. Angelina Madete akijibu maswali ya walimu wa Shule ya Sekondari Lumala iliyoko wialayani Ilemela, mkoa wa Mwanza (hawapo pichani) aliyoulizwa kuhusu suala...
View ArticleFASTJET YAONGEZA SAFARI ZA MBEYA NA MWANZA
Kampuni ya ndege ya Fastjet imetangaza kuongeza safari zake hapa nchini ambapo sasa itaruka kwenda Mbeya mara mbili kwa siku na Mwanza mara tatu.Meneja wa Uchumi na Biashara wa kampuni hiyo, Jean Uku...
View ArticleWAWILI KORTINI KWA KUSAFIRISHA NA KUUZA MENO YA TEMBO
Wafanyabiashara wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4.Washitakiwa hao...
View ArticleWATAKA MAPATO YA GESI YATUMIKE KWENYE AFYA NA ELIMU
Asilimia kubwa ya watanzania waliohojiwa na taasisi ya utafiti wamesema mapato yatakayopatikana kutokana na gesi yatumike katika huduma za afya na elimu.Hayo yalisemwa jana, Dar es Salaam na Mtafiti wa...
View Article"MRADI WA DART KUTOA FURSA YA UBUNIFU AFRIKA"
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia na sekta binafsi katika mradi mkubwa wa usafirishaji abiria.Alitoa...
View Article