WANAVIJIJI WAVAMIA RANCHI YA KONGWA
Ranchi ya Taifa  ya Kongwa (Narco) iliyoko wilayani Kongwa mkoani Dodoma, imevamiwa na wanavijiji ambao wamefanya uharibifu mkubwa katika eneo la hifadhi yake. Pamoja na uharibifu wa hifadhi yake,...
View ArticleDC AHIMIZA MAPAMBANO MAPANA DHIDI YA FISTULA
Mkuu wa Wilaya ya Pwani, Halima Kiemba, ametoa mwito kwa kila Mtanzania  kujitolea kuwa balozi wa Fistula, ili kuunganisha nguvu katika kupambana na tatizo hilo na kufikia malengo ya kulitokomeza...
View ArticleWANAOWATUKANA WAASISI WA MUUNGANO WASHITAKIWE
Serikali imetakiwa kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wote wanaotoa matusi na kuwakashifu waasisi wa Muungano wa Tanzania ili kukomesha vitendohivyo visijirudie tena.Mmoja wa wakimbiza Mwenge...
View ArticleWIZARA YA KILIMO KUDHIBITI SUKARI YA MAGENDO
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaomba wadau wa sekta ya sukari nchini wakiwemo wazalishaji katika viwanda vya ndani kuendelea kutoaushirikiano wa karibu na vyombo vya dola kwa kuhakikisha...
View ArticleHUDUMA TRENI YA TAZARA KUREJEA LEO
Huduma katika Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), zinatarajiwa kurejea leo baada ya Serikali kupatia ufumbuzi matatizo yaliyosababisha mgomo wa wafanyakazi kuanzia Jumatatu...
View ArticleKDU KASKAZINI YAMNING'INIZA MKURUGENZI WA MIRERANI
Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini kimemtia hatiani Ofisa Ushirika wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mji mdogo wa Mirerani, Nelson Noman Msangi (54) kwa...
View ArticleTEMBO WAUA BAADA YA KUVAMIA MAKAZI KARIBU NA MJI WA DODOMA
Watu wawili wakazi wa Kitongoji cha Kawawa, Manispaa ya Dodoma wamekufa baada ya kukanyagwa na tembo wenye hasira jana.Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime watu hao...
View ArticleSIMON GROUP WASHANGAA UPOTOSHAJI WA MNYIKA
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group inayoendesha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena ameeleza kushangazwa na upotoshaji uliofanywa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika juu ya...
View ArticleASKOFU ASIFU KATIBA ILIYOPO, ATAMANI IENDELEE KUTUMIKA
Wakati mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu Katiba...
View ArticleAJALI YA GARI YAUA WATU WATANO MLIMA SEKENKE
Watu watano wamekufa papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyolihusisha gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace eneo la Mlima Sekenke, wilayani Iramba kwenye...
View ArticleHOMA YA DENGUE YAZUA TAFRANI KWA MADEREVA TEKSI DAR
Taarifa isiyo sahihi ya maambukizi ya homa ya dengue inayoenezwa na mbu aina ya aedes, imesababisha baadhi ya madereva teksi jijini Dar es Salaam, kujilinda kwa kuvaa glovu za mikononi, soksi ndefu...
View ArticleArticle 3
Wakazi wa eneo la Makunguru, jijini Mbeya wakitazama nyumba iliyoteketea moto na mali zote zilizokuwamo ndani yake kutokana na kile kilichodaiwa kuwa hitilafu ya umeme jana. Haijafahamika mara moja...
View ArticleArticle 2
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata chakula kwenye banda la mamalishe pamoja na msafara wake kwenye eneo la Stendi Mpya, mjini Tabora jana. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Tabora Mjini,...
View ArticleArticle 1
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta akimtoka beki wa timu ya Zimbabwe wakati wa mechi ya kwanza ya mchujo kuwania hatua ya makundi ya tiketi ya Fainali za...
View ArticleArticle 0
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakipitita kutoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la mwenzao, aliyekuwa mwanasheria wa wizara hiyo, Luke Seyayi, katika Kanisa la AIC Magomeni,...
View ArticleArticle 17
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa pamoja na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba (kulia) wakati wa kuaga mwili wa mama yake, Bi. Shida Salum aliyefariki dunia leo kabla ya mwili huo...
View ArticleArticle 16
Baadhi ya Watanzania wakishangilia wakati Rais Yoweri Museveni akihutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria misa ya kuombea mchakato wa kumfanya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kutangazwa Mwenyeheri na...
View ArticleArticle 15
Msanii wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' akichengua mashabiki waliohudhuria shoo yake iliyofanyika New Jersey, Marekani.
View ArticleArticle 14
Daktari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Lucy Simbila (kulia) akimpima shinikizo la damu mmoja wa watu waliojitokeza kupima afya mkoani Mara juzi, katika Kambi ya Upimaji Afya Bure...
View ArticleKAMPUNI YA VODACOM YATENGENEZA AJIRA 400
Kampuni ya simu za mkiononi ya Vodacom imendelea na azma yake ya kuhakikisha inawafaidisha wateja wake kupitia huduma zake, huku wakitengeneza nafasi za ajira kupitia maduka yake yanayoendelea...
View Article