BENKI NNE ZAIDI ZAJITOKEZA KUKOPESHA NYUMBA WANANCHI...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa DCB, Edmund Mkwawa (kushoto) akisaini makubaliano na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi, baada ya kuingia makubaliano ya mkopo wa nyumba...
View ArticleHUYU NDIYE KIKONGWE KABISA ANAYEISHI DUNIANI ALIYEZALIWA KARNE YA 19...
Jiroemon Kimura alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni.Japo bado kuna wanawake 21, lakini katika umri wa miaka 116 ni mtu wa mwisho aliye hai.Baada ya kifo cha James Emmanuel 'Doc'...
View ArticleMTWARA WASISITIZIWA KUWA 'WAPOLE' SUALA LA GESI ASILIA...
Moja ya mabango ya wananchi wa Mtwara wakati walipoandamana kupinga suala la gesi.Wakazi wa Mtwara wameaswa kuzungumza lugha moja ya amani, utulivu na kujipanga vizuri ili nchi isije ikakosa fursa ya...
View ArticleTRENI YA MWAKYEMBE 'YAONDOKA' NA MAISHA YA MCHUMI DAR...
Gari hilo baada ya ajali, Dar es Salaam jana.Mchumi wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Elias Kitundu (39) amekufa papo hapo huku mkewe Agness Msoka (37) na mtoto wao Samson Kitundu (17) wakijeruhiwa,...
View ArticleMSANII MANGWAIR WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA AFRIKA KUSINI...
Albert Mangwea.Habari zilizotufikia zinasema kwamba msanii wa muziki wa kizazi kipya, Albert Mangwea 'Ngwair' amefariki dunia Afrika Kusini leo.Taarifa zilizopatikana mapema leo kutoka Afrika Kusini...
View ArticleMBUNGE ADAI MKURUGENZI MKUU WA NHC YUKO HATARINI KUUAWA...
Nehemiah Mchechu.Baadhi ya watu wanaopinga juhudi za uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kukabiliana na ubadhirifu, wamepanga kumwua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Nehemia Mchechu,...
View ArticleUHAI WA MFALME ABDULLAH WA SAUDI ARABIA SASA WATEGEMEA MASHINE...
Mfalme Abdullah bin Abdulaziz al-Saud.Mfalme wa Saudi Arabia kitabibu 'amefariki dunia' kwa takribani wiki nzima na yuko katika mashine za kumsaidia mapigo ya moyo, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya...
View ArticleWATAPELIWA FEDHA, AJIRA KWA JINA LA QATAR AIRWAYS...
Moja ya ndege za Qatar Airways ikiwa safarini.Watu kadhaa wametapeliwa na wanaojiita maofisa wa shirika la ndege la Qatar nchini, kwa kisingizio cha kuwapatia ajira ya uhudumu wa ndani ya...
View ArticleMUHIMBILI YATANGAZA MAMIA YA NAFASI ZA MADAKTARI...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetangaza mamia ya nafasi za ajira kwa idara tofauti, wakiwamo madaktari bingwa na wauguzi wa vitengo, vikiwamo vya watoto na upasuaji wa moyo.Takribani watu 488...
View ArticleMISHAHARA JUU, KUANZA KUTUMIKA RASMI JULAI...
Gaudentia Kabaka.Hatimaye Serikali imetimiza ahadi yake ya kuongeza kima cha chini cha mishahara kama ilivyotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani...
View ArticleWATAKA FAO LA KUJITOA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII LISAIDIE WANACHAMA...
Jenister Mhagama.Bunge limeibana Serikali likiitaka kuifanyia marekebisho sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, ili pamoja na kuruhusu Fao la Kujitoa pia iruhusu mwanachama kuchukua sehemu ya mafao...
View ArticleKAKA SASA AWEKA SOKONI BARUA ALIZOTUMIWA NA RAIS BARACK OBAMA...
KUSHOTO: Moja ya barua hizo. KULIA: Malik Obama.Mmoja wa kaka aliyechangia baba na Rais Obama sasa anauza karatasi mbili za barua alizopokea kutoka kwa ndugu yake huyo maarufu na kuziuza kwa Dola za...
View ArticleMARIAN, FEZA. KIFUNGILO ZAZIDI KUPETA MATOKEO KIDATO CHA SITA...
Dk Charles Msonde.Ufaulu katika mitihani ya Taifa ya kidato cha sita uliofanyika Februari mwaka huu umeongezeka ikilinganishwa na wa mwaka jana.Hayo yamebainika baada ya Baraza la Mitihani la Taifa...
View ArticleRASIMU YA KATIBA MPYA KUZINDULIWA KESHOKUTWA...
Jaji Joseph Warioba.Baada ya kazi ya kukusanya maoni juu ya muundo wa Katiba mpya kwa takribani mwaka mmoja, hatimaye mchakato wake unatarajiwa kuingia katika hatua nyingine keshokutwa.Siku hiyo, Tume...
View ArticleWANAOKAMIA URAIS 2015 KUPITIA CCM SASA KUDHIBITIWA...
Philip Mangula.Wanachama wa CCM wanaofanya kampeni za chini kwa chini kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wataanza kudhibitiwa kuanzia ngazi za chini kichama, imeelezwa.Katika kuhakikisha udhibiti...
View ArticleKAMBI YA UPINZANI BUNGENI YAUFYATA, WAKUBALI YAISHE...
Freeman Mbowe.Kambi ya Upinzani bungeni, imeonesha ukomavu unaolenga kudumisha amani, mshikamano na mustakabali wa nchi katika medani ya siasa za Tanzania.Hali hiyo ilibainika jana baada ya vyama...
View Article