UADILIFU WA KIFEDHA SERIKALINI WAIMARIKA...
Janeth Mbene.Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene, amesema  uadilifu na uaminifu katika usimamizi wa fedha kwenye wizara na idara, umekuwa mkubwa kwa sasa na hiyo imesaidia mapato kuongezeka.Mbene...
View ArticleNAIBU SPIKA ATETEA MAWAZIRI KUHUSU UTORO BUNGENI...
Job Ndugai.Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema mawaziri wanapokosekana ndani ya Bunge, haimaanishi hawako Dodoma, ila hawaonekani kwa kuwa kila mmoja anajitahidi kuweka mambo yake sawa katika...
View ArticleMADAKTARI WALIOGOMA WAFUTIWA USAJILI WAO...
Baadhi ya madaktari na wauguzi wakati wa mgomo.Madaktari 20 waliokuwa katika mafunzo kwa vitendo ambao walishiriki mgomo mwaka jana, wamefutiwa usajili kutokana na agizo la Baraza la Madaktari...
View ArticleNYUMBA ZA VIONGOZI WA CCM ZATEKETEZWA MOTO...
Mbunge wa Liwale, Faith Mitambo.Nyumba zaidi ya saba za kuishi na nane za maduka pamoja na mifugo; vyote vikimilikiwa na viongozi wa CCM, akiwamo mbunge na madiwani wilayani Liwale, vimeteketezwa kwa...
View ArticleMACHINGA WANAOINGIZA 40,000/- KWA SIKU SASA KUTOZWA KODI...
Baadhi ya wamachinga wakiwa kazini katika moja ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam.Serikali imeanza kuimarisha ukusanyaji mapato yake, kwa kutoza kodi pia wafanyabiashara wadogo wanaotembeza bidhaa zao...
View ArticleASILIMIA 7 YA WATU WAZIMA TANZANIA WANA KISUKARI...
Asilimia saba ya watu wazima nchini wanaumwa kisukari huku theluthi moja kati yao, haina uelewa juu ya ugonjwa huo, jambo linalosababisha wafike hospitalini katika hali mbaya.Taarifa hiyo ilitolewa...
View ArticleMFUKO WA PENSHENI PSPF WACHUNGULIA KABURI...
Mkurugenzi Mkuu, Adam Mayingu.Baada ya kukanusha kwa matangazo katika vyombo vya habari kuhusu hali mbaya ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Mkurugenzi wake, Adam Mayingu, sasa amekiri...
View ArticleBABA MTAKATIFU APONGEZA MUUNGANO TANGANYIKA NA ZANZIBAR...
Papa Francis I.Viongozi wa mataifa mbalimbali akiwamo Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, wametuma salamu za pongezi kwa Rais Jakaya Kikwete kwa niaba ya Watanzania, kwa kuadhimisha...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Wachungaji watatu walikutana wasimuliane matatizo yao ili waweze kuombeana. Wa kwanza akasema: "Jamani mimi tatizo langu ni wizi. Yaani kila nikimaliza ibada lazima nidokoe sadaka." Wa Pili akasema:...
View ArticleWABUNGE WAUNGANA KUKATAA BAJETI WIZARA YA MAJI...
Wabunge katika kikao mjini Dodoma.Bajeti ya Wizara ya Maji ya mwaka wa fedha 2013/14, iliyokuwa ipitishwe na Bunge jana, imekwama na kuahirishwa hadi Jumatatu. Hatua hiyo ilifikiwa, baada ya wabunge...
View ArticleMAGUFULI ASAINI MKATABA KUNUNUA KIVUKO BAGAMOYO-DAR ES SALAAM...
Dk John Magufuli.Waziri wa Ujenzi, John Magufuli amesaini mkataba wa ununuzi wa kivuko chenye thamani ya Sh bilioni 7.9 chenye uwezo wa kubeba abiria 300 na mwendo wa kilometa 40 kwa saa kitakachokuwa...
View ArticleAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUMNAJISI KUKU JIKE MUSOMA...
Kijana aliyejulikana kwa jina la Yusuph Bakari (28), Mkazi wa Kigera Manispaa ya Musoma Mkoa wa Mara, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kunajisi kuku jike.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini...
View ArticleAZUNGUKA MIGAHAWA 6,300 YA KICHINA, BADO HAWEZI KUTUMIA FIMBO ZA KULIA...
Mpenzi wa chakula cha Kichina amekula kwenye migahawa 6,300 tofauti na kusafiri kote Marekani akitimiza tamaa yake ya mapishi ya pande za Asia.Lakini licha ya kula chakula cha Kichina kwa maisha yake...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Padri katika kanisa moja alitangaza kila muumini atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke au mume wake. Wengi wakahamasika na kutoa hadi Shilingi 100,000. Lakini mwishoni kabisa mwa zoezi hilo, muumini...
View ArticleUTAFITI WABAINI BANGI INAFAA KUONDOA KABISA MAUMIVU MWILINI...
Mmea wa bangi ukiwa shambani.Bangi ikiwa katika hali ya vidonge inaweza kufanya kazi vizuri kabisa kuondoa maumivu kuliko ikiwa katika hali ya moshi na kuwa na madhara kidogo mno, wamesema...
View ArticleMZAHA WA LEO...
***********************************Mwanamke anayejua kwa uhakika alipo mumewe kila saa ni mjane, wengine wanadanganywa tu!***********************************
View Article