Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4503

CHEKA TARATIBU...

$
0
0
Padri katika kanisa moja alitangaza kila muumini atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke au mume wake. Wengi wakahamasika na kutoa hadi Shilingi 100,000. Lakini mwishoni kabisa mwa zoezi hilo, muumini mmoja akatoa Shilingi 500! Padri akamwita na kumuuliza: "Ina maana mkeo sio mzuri?" Jamaa akajibu: "Ukimuona naamini utanirudishia chenji!" Balaa...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4503

Trending Articles