Quantcast
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

MWANAUME ATIMULIWA KWENYE TAMASHA SABABU NI MZURI MNO...

   Intaneti imejawa na tetesi kwamba huyu ni mwanaume ambaye ametimuliwa nchini Saudi Arabia kwa kuwa ni anavutia mno.Omar Borkan Al Gala, mshairi, mwigizaji, na mpigapicha kutoka Dubai, anaripotiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA RAIS KIKWETE ASOMESHA 'YATIMA FEKI'...

Mama Salma Kikwete.Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete amefichua kuwa, amewahi kupelekewa yatima `feki’ katika shule anayoisimamia ya Wama Nakayama iliyopo Rufiji mkoani Pwani, ambayo ni maalumu kwa watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AREJESHEWA POCHI YAKE ILIYOIBWA ZAIDI YA MIAKA 20 ILIYOPITA...

Jeri Cox Chastain akikagua baadhi ya vitu vilivyokuwamo ndani ya pochi hiyo.Vitu visivyouzika ambavyo mwanamke mmoja alipoteza kwa zaidi ya kipindi cha miaka 20 hatimaye vimerejeshwa kwake.Pochi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA KUMBURUZA KORTINI RC ARUSHA KUHUSU SAKATA LA LEMA...

Magesa Mulongo.Siku mmoja baada ya polisi mkoani kumkamata Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), sasa chama chake kinahaha kumnasua mbunge huyo  kwa kumgeuzia kibao Mkuu wa Mkoa wa Arusha,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Mjukuu kamnong'oneza babu yake: "Naomba Shilingi 500!" Kwakuwa babu hakuwa na kitu akavunga kwa kusema: "Ninong'oneze sikio la huku, hilo bovu!" Mjukuu akamnong'oneza sikio jingine: "Naomba Shilingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'MUUAJI' AUAWA KWA KUPIGWA MAWE MAKABURINI MBEYA...

Eneo la makaburi mkoani Mbeya.Katika hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Kitongoji cha Maweni, Kijiji cha Mkwajuni wilayani Chunya, Flavin Mwamosi Mwachuki (70) amepigwa hadi kufa na hatimaye kuzikwa...

View Article

MZAHA WA LEO...

************************************Hata uwe na fujo kiasi gani, huwezi kugombea foleni kupima virusi ya ukimwi!************************************

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE SASA KUAMUA WATAKAOPATA MIKOPO ELIMU YA JUU...

Cosmas Mwaisobwa.Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo mipya, huku ikiwaachia wabunge kuamua idadi ya wanufaika.Heslb imetoa mwezi mmoja kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI MWANAUME ABAKWA NA WANAWAKE WANNE BAADA YA KUTEKWA...

Askari mmoja mwanaume anadaiwa kutekwa kisha kudhalilishwa kijinsia na wanawake wanne kwa karibu wiki moja kabla ya kupigwa mawe na kutupwa katikati ya milima.Mateso ya muathirika huyo mwenye miaka 25...

View Article

MZAHA WA LEO...

******************************Mbwa pia ana kichaa, lakini hawezi kuokota makopo dampo!******************************

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAJETI KIPORO WIZARA YA MAJI YATINGA TENA BUNGENI LEO...

Kikao cha Bunge mjini Dodoma.Mkutano wa 11 unaendeleo leo mjini Dodoma, ambapo Bajeti ya Wizara ya Maji iliyokwama kupitishwa baada ya wabunge kuigomea, inatarajiwa kuwasilishwa, ikiwa na  maboresho,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA AHOFIA MAISHA YA BINTI YAKE WA MIAKA MITANO ALIYEBAKWA...

Shambulio hilo limeibua hasira ya waandamanaji kote mjini Delhi.Baba mzazi wa binti mwenye miaka mitano muathirika wa ubakaji amezungumzia hofu yake kwamba shambulio hilo la kikatili litamwacha binti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI WALIOFUTIWA USAJILI WAANZA KUJITETEA...

Madaktari wakiwa katika moja ya mikutano yao wakati wa mgomo wao.Madaktari 20 walioshiriki mgomo mwaka jana na kufutiwa usajili, kutokana na agizo la Baraza la Madaktari Tanganyika, wameanza kujitetea,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI WA KAHABA ASHINDA FIDIA SHILINGI MILIONI 52 KWA MATESO YA UTOTONI...

KUSHOTO: Collette alivyo sasa. KULIA: Akiwa amebebwa na mama yake wakati akiwa na umri wa miaka mitatu.Binti wa kahaba ameshinda fidia ya malipo ya Pauni za Uingereza 20,000 baada ya kushitaki ustawi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UAMUZI WA HOJA KESI YA MTANGAZAJI JERRY MURO KUTOLEWA LEO...

Jerry Muro.Uamuzi wa hoja katika kesi ya kutaka kuomba na kupokea rushwa, iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji (TBC), Jerry Murro, unatolewa leo katika Mahakama Kuu Kanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA IDDI SIMBA HASARA YA BILIONI 2.3 ZA UDA KUENDELEA LEO...

Iddi Simba.Kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kulisababishia Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), hasara ya Sh bilioni 2.3 inayomkabili Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Iddi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA MAKINDA AKANUSHA KUPOKEA RIPOTI YA JAIRO...

Spika Anne Makinda.Spika wa Bunge, Anne Makinda, amekanusha ofisi yake kupokea rasmi ripoti ya kuchunguza tuhuma zinazomkabili  aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMBI LA KUSIKILIZWA UPYA KESI YA JERRY MURO LATUPWA...

Jerry Muro.Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kusikilizwa upya kwa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 10, iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live