KOCHA WA VIUNGO ALIYEDUMU MIAKA 19 ATIMULIWA SHULE KATOLIKI KWA USAGAJI...
Carla Hale.Kocha wa elimu ya viungo huko Columbus, Ohio amepatwa na mshituko baada ya shule Katoliki ambako amefundisha kwa miaka 19 kumtimua kwa kuwa msagaji.Carla Hale, mwenye miaka 57, kutoka...
View ArticleSPIKA MAKINDA ABARIKI WABUNGE 6 KUSIMAMISHWA...
JUU: Video ya hali ilivyokuwa hadi kusimamishwa kwa wabunge hao kwa mujibu wa taarifa ya habari ya kituo cha ITV. CHINI: Viongozi na wabunge wa Chadema wakijiandaa kutoka ndani ya ukumbi wa Bunge siku...
View ArticleDEREVA ALIYEACHA BASI NA KWENDA KUSHUHUDIA KUZALIWA MWANAE ATIMULIWA KAZI...
KUSHOTO: Shaun Hooley akiwa amembeba mwanae, Jacob Thomas. KULIA: Basi la kampuni ya Tates Travel alilokuwa akiendesha.Dereva mmoja wa basi amefukuzwa kazi baada ya kuwa barabarani kwa miaka 17 sababu...
View ArticleWANAWAKE WALIOSUSIWA WATOTO WATAKIWA KURIPOTI...
Dk Seif Seleman Rashid.Mama wa mtoto aliyetelekezwa anawajibika kuwasilisha shauri la matunzo ya mtoto katika vyombo vya sheria.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif...
View Article'BABU' ADAIWA KUMNAJISI MJUKUU WA KIKE WA MWEZI MMOJA NA NUSU...
Kamanda David Misime.Mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi moja na nusu amelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa akiwa katika hali mbaya baada ya kudaiwa kunajisiwa na kuchanika vibaya sehemu...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jioni moja jamaa mmoja alikwenda kumtembelea rafiki yake. Wakati akiwa huko, mara mvua kubwa ikaanza kunyesha ndipo mwenyeji wake akasema: "Usijali rafiki yangu, utalala hapa sebuleni sababu mvua ni...
View ArticleWAFANYAKAZI 'WASALI' WAGONJWA WA AKILI MIREMBE WASIUAWE...
Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya wagonjwa wa akili ya Mirembe, mkoani Dodoma ambao shughuli kubwa ni kuwahudumia wagonjwa wa akili maisha yako hatarini kutokana na ukosefu wa dawa za wagonjwa...
View ArticleWABUNGE WACHACHAMAA JUMBA LA MCHUNGAJI LWAKATARE LIVUNJWE...
'Hekalu' linalomilikiwa na Mchungaji Getrude Lwakatare.Wabunge wamemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira Terezya Huvisa kuzivunja nyumba mbili zilizopo Mbezi Beach jijini Dar es...
View ArticleAPIGA PICHA MZIMU KWENYE SIMU YA MKONONI BILA KUFAHAMU...
Mwanamke mmoja wa Texas amepokea mshangao wa kutishia pale alipobaini bila kufahamu amepiga picha ya mzimu kwenye simu yake ya mkononi.Marcella Davis wa Cleveland, alikuwa akijaribu kupiga picha ya...
View ArticleCHADEMA 'YATAWALA' MKUTANO WA CCM MOROGORO...
Viongozi wa CCM wakiwasili kwenye mkutano huo mkoani Morogoro jana.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amewataka Watanzania kuachwa kudanganywa na wanasiasa makanjanja wa Chadema, kwa kuwa ni watu...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mlevi mmoja kakutwa akikojoa eneo la shule na mambo yalikuwa hivi. Mwalimu: "Hilo bango linasemaje?" Mlevi: "Usikojoe Hapa" Mwalimu: "Kwa hiyo wewe unafanyaje?" Mlevi: "Aah, mie nilijua jina la...
View ArticleSERIKALI YAUFYATA KWA WALIMU, YAREJEA MEZANI KWA MAZUNGUMZO...
Gratian Mukoba.Serikali imerejea katika meza ya mazungumzo na Chama cha Walimu Tanzania (CWT), pamoja na kutokuwepo kwa mazingira ya nia njema kutoka upande wa wawakilishi wa walimu katika mazungumzo...
View ArticleMHADHIRI WA MAREKANI ABAKWA NA WANAUME TISA PAPUA NEW GUINEA...
KUSHOTO: Mhadhiri huyo baada ya kukatwa nywele na kubakwa. KULIA: Eneo la msitu ambako ubakaji huo ulifanyika.Mhadhiri mmoja wa Marekani amebakwa na kundi la askari tisa wenye silaha nchini Papua New...
View ArticleHII NDIO SIRI YA USHINDI YANGA, WACHEZAJI WAAHIDIWA MILIONI 100 WAKITWAA...
Kikosi cha timu ya soka ya Yanga kilichowasambaratisha maafande wa JKT Ruvu jana.Timu ya Soka ya Yanga, jana imeiangushia kipigo cha mabao 3-1 JKT Ruvu na sasa kuhitaji pointi moja tu kuweza kutwaa...
View ArticleJALADA LA WILFRED RWAKATARE KUPELEKWA KWA DPP...
Wilfred Rwakatare.Upelelezi wa kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare na Ludovick Joseph, umekamilika na jalada lake litapelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka...
View ArticleBEI YA CHAKULA SASA KUPUNGUA, KAMPUNI 300 ZAJITOKEZA KUWEKEZA...
Vyakula mbalimbali katika meza sokoni.Tatizo la ongezeko la gharama za maisha, linalotokana na ongezeko la bei ya chakula nchini, linatarajiwa kupungua baada ya kampuni takribani 300 za uwekezaji wa...
View ArticleGODBLESS LEMA AIBWAGA TENA CCM MAHAKAMANI...
Godbless Lema.Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kwa mara nyingine amewabwaga mahakamani wanachama wa CCM, waliokata rufaa katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010, yaliyompa mbunge...
View Article