KIKONGWE WA MIAKA 97 ASAKA MTOTO WA NDOA
Babu aliyefunga ndoa mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 94, Mathias Kisokota mkazi wa Kitongoji cha Isunta, Namanyere wilayani Nkasi ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 97, amehamia na mkewe katika...
View ArticleBREAKING NEWS!! GWIJI WA VICHEKESHO MZEE SMALL AFARIKI DUNIA
Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema kwamba, msanii mkongwe wa vichekesho nchini Said Ngamba, maarufu kama Mzee Small amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya...
View ArticleDAR WAELEZEA KILIO CHA ENEO LA KUFANYIA BIASHARA
Baadhi ya wafanyabiashara ndogo wa Dar es Salaam ambao wamegoma kuondoka katika maeneo yasiyoruhusiwa, wamesema suluhisho pekee ni wao kutafutiwa maeneo mazuri ya kufanyia shughuli zao.Wafanyabiashara...
View ArticleKALAMBO YATUMIA SHILINGI MILIONI 8.5 KUKABILI UKIMWI
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa kupitia kitengo cha Ukimwi, imetumia Sh milioni 8.5 kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo. Fedha hizo zimetumika kununulia...
View ArticleATAKA WANAVYUO KUIAMINI CCM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewahakikishia wanavyuo kwamba changamoto zote wanazokabiliana nazo ikiwamo suala la mikopo pamoja na mazingira yasiyo rafiki kwao, vitaendelea kufanyiwa ufumbuzi na...
View ArticleBOKO HARAM YATAWANYA WASICHANA MATEKA NJE YA NIGERIA
Mamia ya wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram nchini hapa wanadaiwa kuonekana wakioga na kuwapikia wanamgambo wa kundi hilo. Aidha taarifa zinaeleza wengi wa wasichana hao wanashikiliwa katika...
View ArticleSERIKALI YATENGA BANDARI KAVU KWA MATAIFA JIRANI
Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imetenga ardhi itakayotumika kama bandari kavu kwa nchi jirani zinazotumia bandari ya Dar es Salaam. Hatua hiyo ya kutenga ekari 160 katika eneo la Jitegemee, upande...
View ArticleCHADEMA YABOMOKA CHUO KIKUU MWANZA
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa ‘msiba’ Chadema, baada ya kusomba wanachama wa chama hicho wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut),...
View ArticleKIKWETE AAGIZA POLISI KUPELELEZA MAOFISA USHIRIKA WEZI
Wizi na ubadhirifu katika vyama vya ushirika, mwisho wake upo karibu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza Jeshi la Polisi, kuanza upelelezi wa maofisa ushirika wanaoshiriki vitendo hivyo na kuwanyima...
View ArticleGAZETI LA MAWIO LATAKIWA KUOMBA RADHI
MkurugenziMtendaji wa Kampuni ya AP Media & Consult Ltd, Peter Keasi ametaka gazeti la Mawio limlipe Sh bilioni mbili kama fidia, kwa kile anachodai kuchapisha habari ambazo zimesababisha kushuka...
View ArticleBAJETI KUU YA MATRILIONI YASUBIRIWA KWA HAMU
Bunge linaendelea na mkutano wake wa 15 mjini Dodoma leo, huku shughuli kubwa wiki hii ikiwa ni kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali ya matrilioni ya shilingi. Bajeti hiyo ni ya mwaka wa fedha...
View ArticleCHANZO WA UGONJWA WA WASICHANA KUANGUKA SHULENI CHATAJWA
Ugonjwa wa kuanguka na kupiga kelele unaowakumba baadhi ya wasichana katika shule mbalimbali nchini, umetajwa kusababishwa na maambukizi ya hofu inayosababisha mwili kupata dalili za magonjwa...
View ArticleNBAA, BOT WATAKIWA KUFANYA KAZI PAMOJA KUSAIDIA UMMA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda ametaka Benki Kuu Tanzania (BoT) kwa kushirikiana na Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA), kuhakikisha wanaboresha utoaji huduma za kifedha, ili kupanua wigo...
View ArticleMAADHIMISHO SIKU YA KUCHANGIA DAMU KUFANYIKA KIGOMA
Maadhimisho ya siku ya wachangia damu duniani inatarajiwa kufanyika kitaifa mkoani Kigoma huku Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Mandeleo (Wama) Mama Salma Kikwete akitarajiwa kuwa mgeni rasmi....
View ArticleSHERIA YA KUSIMAMIA TAASISI NDOGO ZA HUDUMA ZA FEDHA YAANDALIWA
Muswada wa Sheria ya Kusimamia Taasisi ndogo za Huduma za Fedha, zikiwemo Vicoba, unaandaliwa na serikali. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipojibu swali la mbunge wa Nkenge,...
View ArticleMAREKANI KUENDELEA KUSAIDIA MAENDELEO
Serikali ya Marekani imehakikishia Tanzania kwamba itadumisha uhusiano kudumisha na kazi iliyoko mbele ni kuhakikisha inapiga hatua zaidi na siyo kurudi nyuma. Balozi Mark Childress alisema hayo jana...
View ArticleSERIKALI YAANDAA KANUNI KUDHIBITI MATUMIZI YA MTANDAO
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa wizara yake inatayarisha Kanuni, zitakazodhibiti matumizi mabaya ya mtandao wa intaneti, ikiwemo uwekezaaji wa picha...
View ArticleMAPACHA WA MIAKA 6 WAFA MAJI WAKIOKOANA
Watoto pacha wenye umri wa miaka sita, wamekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji wakati wakicheza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watoto hao walitumbukia kwenye...
View ArticleUPELELEZI WA KESI YA RWAKATARE NA WENZAKE BADO
Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare na mwenzake Ludovick Joseph, haujakamilika. Wakili Mwandamizi wa Serikali,...
View Article