WATAKIWA KUACHA KUDHALILISHA BARAZA LA MAWAZIRI
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk, Richard Sezibera ameasa wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuacha tabia ya kudhalilisha Baraza la Mawaziri. Amesema baraza hilo...
View ArticleMBUNGE WA UKEREWE AACHIWA HURU TUHUMA ZA UCHOCHEZI
Mbunge wa Ukerewe, mkoani Mwanza, Salvatory Machemli ameachiwa huru na Mahakama baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili. Hukumu hiyo...
View ArticleOFISA MASOKO KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUIBA MILIONI 69.8/-
Ofisa Masoko wa Kampuni ya NN General Supplies Simon Lyatuu (47) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 69.8.Lyatuu alifikishwa...
View ArticleDK BILAL AHIMIZA UMUHIMU WA UTUNZAJI MAZINGIRA
Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, umetolewa mwito wa uhifadhi na utunzaji wa mazingira kufanyika kila siku badala ya kusubiri Siku maalumu ya Maadhimisho ya Mazingira Duniani.Makamu wa...
View ArticleSERIKALI YAANZA KUSAMBAZA KOMPYUTA VYUONI
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali kwa sasa imeanza kusambaza kompyuta katika vyuo vikuu nchini kwa lengo la kuboresha elimu kwa wanafunzi.Pia, amesema baadaye Serikali itaanza kusambaza...
View ArticleHALMASHAURI DAR ZAASWA KUTUNZA MAZINGIRA
Halmashauri za Jiji la Dar es Salaam zimeaswa kushirikiana na Serikali za Mitaa kusimamia sheria ya utunzaji wa mazingia ili kufikia malengo ya kuimarisha usafi. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
View ArticleMTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTUMBUKIA KISIMANI
Mtoto Jeremiah Nyamuhanga (2) mkazi wa Machimbo amekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji karibu na nyumbani kwao.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema, mtoto huyo...
View ArticleWAHISANI WAANZA KUTEKELEZA AHADI BAJETI YA 2013/2014
Kilio cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya...
View ArticleBAJETI KUU YA SERIKALI YASUKWA
Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, jana ilianza vikao vya siku sita na Serikali ili kutayarisha Bajeti Kuu ya Serikali, ambayo itasomwa Juni 12, mwaka huu na Waziri wa Fedha, Saada...
View ArticleUGOMVI WA BABA NA MAMA WASABABISHA KIFO CHA MTOTO
Polisi mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu...
View ArticleMACHANGUDOA WA KINYARWANDA WATIWA MBARONI DODOMA
Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba. Watuhumiwa watatu kati ya hao, Saidat Umotoni (28), Asha...
View ArticleArticle 8
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa bwawa kubwa la maji la Leken katika kata ya Seleli wilayani Monduli leo. Bwawa hilo ambalo limegharimu...
View ArticleArticle 7
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose (kushoto) pamoja na viongozi wa Chama cha ngumi Tanzania (BFT) wakiunganisha...
View ArticleArticle 6
Afisa wa Mambo ya Nje, Naomi Zegezege akipanda mti kwa niaba ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.
View ArticleArticle 5
Baadhi ya Warembo wanaowania taji la Miss Arusha wakimsikiliza kwa makini Dk Sober Mzighani wa Hospitali ya Maria Stopes ya jijini humo wakati wakipatiwa mafunzo mbalimbali yahusuyo masuala ya afya ya...
View ArticleMAKAMPUNI 400 KUSHIRIKI MAONESHO YA 38 YA BIASHARA
Jumla ya kampuni 400 za nje zinatarajiwa kushiriki katika Maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa yanayotarajiwa kuanza Juni 28 mwaka huu katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam...
View ArticleMBUNGE ALIA NA MRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA
Mbunge wa Viti Maalumu, Christina Mughwai ameitaka serikali ieleze kwa nini inachelewa kutekeleza Mradi wa Umeme wa Upepo Singida. “Katika jitihada za kutatua tatizo la umeme nchini, serikali...
View ArticleTPSF YAHIMIZA MAADILI KWENYE BIASHARA
Wafanyabiashara wametakiwa kufuata maadili ya biashara ili kuepusha rushwa katika biashara.Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Taasisi ya sekta binafsi(TPSF), Gideon Kaunda (pichani kushoto) katika...
View Article