SERIKALI YAFANYIA KAZI PENSHENI KWA WAZEE
Serikali imesema kuwa Mpango wa Pensheni kwa Wazee nchini, haujaanza kutekelezwa kutokana na kutokamilika kwa maandalizi.Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga alisema hayo bungeni mjini...
View ArticleGHASIA AZUNGUMZIA MAANA PANA YA MIPANGO MIJI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema mipango miji si kupima viwanja pekee kama inavyofanywa sasa bali ni kuzingatia mahitaji mengine...
View ArticleCAPELLO DIDN'T BELIEVE IN ME, SAYS GERRARD
Steven Gerrard is looking forward to a World Cup where he finally feels respected as England captain by Roy Hodgson, after feeling like Fabio Capello's third choice in 2010.Gerrard will move ahead of...
View ArticleArticle 17
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa (Safari Lager High International Quality...
View ArticleArticle 16
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akimkabidhi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam, Calvin Martin tuzo iliyopata bia ya Ndovu Special Malt mara baada ya kuwasili kutoka...
View ArticleArticle 15
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza katika Kanisa lililoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Ngereza...
View ArticleArticle 14
Sunday Kayuni akiongoza wadau wenzi wa michezo nchini kupita kutoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Gebbo Peter, nyumbani kwa marehemu Vingunguti,...
View ArticleKANALI MWANAKATWE AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakati huo FAT, Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe amefariki dunia.Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho hilo jana kwa vyombo vya habari,...
View ArticleWAKULIMA WA UFUTA NACHINGWEA WALIPWA NOTI BANDIA
Wafanyabiashara wilayani Nachingwea mkoani Lindi wanadaiwa kutumia fedha bandia kununulia zao la ufuta.Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Regina Chonjo wakati alipokuwa akizungumza na...
View ArticleRUKWA WALENGA KUSHUSHA MAAMBUKIZI YA VVU HADI ASILIMIA 2
Shirika lisilo la kiserikali Resource Oriented Development Initiative (RODI) limedhamiri kusaidia kupunguza kiwango cha maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) mkoani Rukwa kutoka asilimia 6.2 ya sasa...
View ArticleMWEKEZAJI AAGIZWA KULIPA SHILINGI MILIONI 700 ANAZODAIWA NA WAKULIMA
Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amemtaka mmiliki wa kiwanda cha mvinyo cha CETAWICO kilichopo Dodoma kuhakikisha analipa deni lote la wakulima wa zabibu lipatalo Sh milioni...
View ArticleKIKWETE AHIMIZA WANAWAKE KUJITOKEZA KUPIMA SARATANI
Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vinavyotokana na saratani ya mlango wa kizazi na matiti nchini. Hayo yameelezwa na Rais Jakaya Kikwete wakati akizindua kampeni ya uchunguzi wa...
View ArticleMALARIA SASA KUBAKI HISTORIA ZANZIBAR
Wizara ya Afya Zanzibar, imezindua ugawaji wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha ugonjwa wa malaria unatokomezwa Zanzibar.Akizindua mpango huo, Waziri wa Wizara hiyo,...
View ArticleBUNGE LARIDHIA AZIMIO LA SADC
Watanzania wengi wataweza kufanya biashara na kuwekeza katika nchi za Kusini mwa Afrika kuanzia sasa.Hatua hiyo inatokana na Bunge kuridhia juzi jioni Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini...
View ArticleLOWASSA ATAKA VIONGOZI WANAOUZA ARDHI WANG'OLEWE
Wananchi wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza...
View ArticleWASOMALI 1,541 WAPEWA URAIA WA TANZANIA
Serikali ya Tanzania imetoa uraia kwa wakimbizi 1,541 wa Somalia waliokuwa wanaishi katika Makazi ya Chogo, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.Watu hao waliikimbia Somalia mwaka 1990 baada ya kuibuka kwa...
View ArticlePINDA AGOMA KUKAGUA ZAHANATI DODOMA
Ile hali ya kufanya kazi kwa mazoea iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali jana iliwatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 18 HAJAWAHI KULIA TANGU AZALIWE
Tukio la mtoto Nasra Mvungi kuteswa kwa kufungiwa katika boksi ndani ya nyumba kwa zaidi ya miaka mitatu na kufariki dunia baada ya kuokolewa na wasamaria, limefanikisha kupatikana kwa mtoto mwingine...
View Article